Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Hivi inakuwaje mtu anakuwa na hand writing nzuri

Mimi mpaka leo nikiandika kama bata na kazi tunafanya hivyo hivyo..

Hebu nianbieni mnafanyaje mpaka mwandiko unakuwa mzuri?
Ukiona hivo Una force Tu....ilibidi uwe msukuma kwama ......au poraji moja la mikoba ya kike maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…