Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,633
- 1,608
Habari ,nina swali kwenu wapendwa waumini wa madhehebu ya kilokole,nimepata binti wa kilokole ninataka kumuoa na tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu sasa na tumeshatambulishana nyumbani,lakini madai yake anasema mpaka Mungu amjibu kua mimi ni mtu sahihi kwake au laa na maombi amefanya sana,je huu ndio utaratibu uliopo kwenye madhehebu ya kilokole linapokuja swala la ndoa?