Binti mdogo katoa mimba mara nne

Kawaida sana, mimi niliyesoma shule zetu hizi "kajamba nani" mimba zilikua zinatolewa kama njugu! Yaani lilikua ni jambo la kawaida sana, toka shule ya msingi, sekondari-watoto "wanashusha tu" Wengine washushaji walifika mpaka vyuo vikuu na leo ni watu wa maana mnawashobokea town, na pengine bado wanashusha tuu - hili ni tatizo kubwa kuliko linavyochukuliwa. Mungu awasaidie dada zetu ndugu zangu na awaepushie mbali.
 
Umenikumbusha MZUKILA mkuu
 
Ayoo mambo n yakawaida kabsa ataa mijini baadhi ya mikoa.
 
tunaotaka kuoa na hatujabobea hayo mambo tuna kazi kweli tunaposikia haya..
 
Binadamu hupitia mambo mengi sana kwenye maisha, mwenyezi mungu atunusuru na vizazi vyetu...
 
Na utoaji mimba salama yaani safe abortion ingiwaje sio legal ila inasaidia.
matendo ya hatari mara nne sasa na bado atashiriki.
unaweza kuoa mwanamke wa hivyo aki confess na ukute pungufu alilo nalo ni hilo tu

Root
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…