Binti Kulala Na Mwanaume Nyumbani Kwenu

Binti Kulala Na Mwanaume Nyumbani Kwenu

Si afadhali huyo mwenye chumba cha nje. Wengine wanazamisha mwanaume humo humo ndani mwao, wazazi wakiwemo. Haya mambo hayajaanza jana wa juzi. Yapo toka zamani. Tena vijijini huko ndo mchezo wao. Hapa mjini guest house zinadaidia.
 
Duuuh hiyo kali
 
Hiyo tabia chafu saana yani mtu unafanya uzinzi na mwanaume ndani ya nyumba yao,tena si mabinti tu wengine ni watu wazima ila sema hawajipangia wala hawajabahatika kuolewa ila unakuta wana katabia ako kaajabu..na mwingine unakuta hata keshazalishwa nyumban lakini anafanya ujinga huo..kama nae mwanaume anaishi kwao kutanen gest au lodge lakin sio kukutana nyumban kwenu mtoto wa kike hiyo ni aibu kubwa na ni kujidhalilisha pia inaonesha jinsi gani kwenu umewadharau maana ukiwaheshimu kwenu huwezi kufanya jambo kama hilo.

Kila man & woman wakilala pa1 wanazini? Mawazo ya ki zamani sana hayo
 
Back
Top Bottom