Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,049
- 2,249
Wasalaam wadau wa jukwaa hili pendwa na ma'fans wa entertainment in general, I hope mko poa..
Baada ya juzi kusambaa taarifa za kuachiwa huru kifungoni kule China kwa yule video vixen wa ngoma ya Binti kiziwi ya Z-Anto na Haiwezekani ya Cassim Mganga, Sandra Khaleed Khan"Binti Kiziwi" Leo atakua live ndani ya Leo Tena ya Clouds FM kuanzia saa4 hadi saa7 atafunguka mengi sana akiwa na Ghea Habib, Jose Mara na Mussa Hussein..
Pia yule mtangazaji wa Idhaa ya kiswahili ya BBC Bi Zuhura Yunus nae atakuwepo, asee hii si yakukosa Chaliangu utawaambia nini watu wewe?
@NgarenaroBoy.