Binti Kiziwi na Zuhura Yunus ndani ya Leo Tena Clouds FM leo saa 4 hadi saa 7

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,045
2,226
Wasalaam wadau wa jukwaa hili pendwa na ma'fans wa entertainment in general, I hope mko poa..

Baada ya juzi kusambaa taarifa za kuachiwa huru kifungoni kule China kwa yule video vixen wa ngoma ya Binti kiziwi ya Z-Anto na Haiwezekani ya Cassim Mganga, Sandra Khaleed Khan"Binti Kiziwi" Leo atakua live ndani ya Leo Tena ya Clouds FM kuanzia saa4 hadi saa7 atafunguka mengi sana akiwa na Ghea Habib, Jose Mara na Mussa Hussein..

Pia yule mtangazaji wa Idhaa ya kiswahili ya BBC Bi Zuhura Yunus nae atakuwepo, asee hii si yakukosa Chaliangu utawaambia nini watu wewe?

@NgarenaroBoy.
 
Mrejesho?
Kasema hajaolewa yuko single na hana mtoto..hilo ndo swali muhimu kwa Zuhura najua,lakini Binti kiziwi nae yupo single pia et,kwa upande wa magereza ya kule ni tofauti sana na huku,maana kule chumba kimoja"Cell"wanaishi wafungwa kumi na kila mmoja na kitanda chake.na alihukumiwa miaka12 lakini ilishushwa hadi 8 kutokana na nidhamu yake.issue ilikua ni Drugs alikamatwa Nazi Air port Hongkong.
 
Swali muhimu kwa binti kiziwi,bado ana mpunga wa kuuza ngada?If yes,i will be happy to have her as my onyenye!
 
Swali muhimu kwa binti kiziwi,bado ana mpunga wa kuuza ngada?If yes,i will be happy to have her as my onyenye!
Duuh!! Mpunga hana sheikh wangu maana hakufanikiwa kuuza coz mzigo ulishikwa airport ulikua mwilini kaumeza dingii.
 
Haa
Supporting Documents Picture Iko Wapi
Mambo yasiwe mengi..huyo hapo
CpZUqyXWgAEjwjY.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole zao hao wasiolewa, wakat sisi wengine tunang'an'aniwa tuolewe japo hairuhusiwi, kweli maisha hayako fair lol uwiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
Zuhura Yunus ni maamuzi tu,wala sio kwambà hajapata wakumuoa,,wanaume kibao walikua wanatuma texts redioni wanataka kumuoa ila kasema hayuko tayari
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom