Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,091
- 13,786
Usikute anasaga na kukoboaZuhura Yunus ni maamuzi tu,wala sio kwambà hajapata wakumuoa,,wanaume kibao walikua wanatuma texts redioni wanataka kumuoa ila kasema hayuko tayari

Afrika kuna tatizo la kushindwa ku mind own businessUsikute anasaga na kukoboa