Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Kuwa Makini mkuu UKIMWI upo na mabeberu wapo njiani kugoma kuleta ARV
Wanawake wako hivo hawajui wanacho taka.....sio kwamba anakupenda wewe, ni issue ya ukaribu tu hata ungekua House boy kwamme we arafu ushinde nae atakutamani tu.....usifikiri kwamba wewe ni special walaaWakuu kwema!
Niliwahi kuleta uzi awali nikielezea kuwa kama una mke ambaye ni mtumishi katika ofisi tofauti na yako hapo hesabu maumivu.Ingawa si wanawake wote wako hivyo ila wengi wako hivyo naturally.
Twende kwenye mada husika; Ni binti mmoja ananipenda na sasa huwa ananipa zawadi ndogondogo kama fedha, vinywaji n.k huku akionyesha kwa vitendo na maneno kuwa ananipenda ingawa anajua kuwa nina mke na mtoto.
Msela wake ambaye yuko nje ya Dar hampendi kivile ingawa kamtolea mahari.
Binti nafanya naye kazi kitengo kimoja. Tukiwa ofisini wawili tu anafurahi sana na kunisifia muda wote.
Juzi nilitaka nivunje amri kuu ila nikashinda jaribu.
Ushauri: Ishini na wake/wachumba wenu kwa akili na kwa kumwomba Mungu sana.
Hakuna muda wa kukaa unafikiria mwanamke, ww kama utaamua kumgonga ww mgonge tu,ila ujue principle ya KARMA..Ukimgonga...jiandae kugongewa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni jaribu inabidi ujitahidi kulishinda.
Wanawake wako hivo hawajui wanacho taka.....sio kwamba anakupenda wewe, ni issue ya ukaribu tu hata ungekua House boy kwamme we arafu ushinde nae atakutamani tu.....usifikiri kwamba wewe ni special walaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Power of love.
Kwani hujui hata nami nakuvizia uhamie Dodoma ili nipendwe na mkeo?
"Time is a wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri,bora ufanye pombe mchepuko kuliko kusaliti familia yakoKuwa Makini mkuu UKIMWI upo na mabeberu wapo njiani kugoma kuleta ARV
Naunga mkono hoja kwa wanawake wasivokuwa na akili yan ile ukarbu tu inatosha kukutunuku so kwamba jamaa ampend hapana n kutokuwa na uamuz sahihWanawake wako hivo hawajui wanacho taka.....sio kwamba anakupenda wewe, ni issue ya ukaribu tu hata ungekua House boy kwamme we arafu ushinde nae atakutamani tu.....usifikiri kwamba wewe ni special walaa
Sent using Jamii Forums mobile app