Binti kanitongoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti kanitongoza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wiseboy, Apr 12, 2011.

 1. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,704
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  nawasalim wote wa umri wangu, juu yangu na chini yangu. Jamani lisemwalo lipo na kama halipo wewe lingoje ck moja litakutokea. Wekend hii nikitokea mikoani kuja Dar tulikaa siti moja na dada wa alijitambulisha kama dent wa mwaka wa 3 chuo mojawapo hapa Dar. Huyu sister ni muongeaji kimtindo japo ana positive idear. Tukiwa katika stori za hapa na pale aliniambia anategemea kuanza maisha yake baada ya kuhitimu mwaka huu hvyo anahitaji kuwa na mchumba toka chuoni kwetu eti kwa kigezo kwamba chuo chetu kina msuli mzito kuliko vyuo vyote hapa nchini, kwa mantiki hyo anadai wavulana wa chuoni kwetu wako simple na wako bize na masomo hvyo anahisi sio wadanganyifu kama vyuo vingine. Tulipofika mwisho wa safari tulipeana namba za cm, baada ya hapo ameanza kunitumia akiniita mme mtarajiwa, honey na nk na hata sijamtongoza wala kumuonyesha dalili. JE HUYU DADA ANA NIA IPI KWANGU MAANA KANIWEKA NJIA PANDA. Nifanyeje coz sijajb sms zake bt bdo anatuma zingine.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze.....

  Hebu kuwa kama mwanaume kamili
  acha uttoto.....

  Kutongozwa na mwanamke siku hizi ni jambo la kawaida mno....

  Wewe amua,unamtaka au humtaki na umueleze
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Its no Wonder!
  Si anakupenda?...Wanawake pia wanaweza!
  Ondoa mentality kuwa mwanaume ndo analianzisha kila mara ...JIVUE GAMBA!
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  WISEBOY-kama jina lako lilivyo we ni wa chuo gani hadi akawa na uhakika kuwa wavulana wa chuo chenu watakuwa bize sana
  Pili-wwe umemchukuliaje huyo demu?
  Tatu-kumbuka mademu wengi ni waongo
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160

  Achana na huyo dada na ulimpa simu ya nini wakati tayari una mchanganyiko huo hapo tulia kijana sawa..............
   
 6. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,704
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  yeye ndiye aliyeyasema hayo mawazo co mm. Ila chuo nilichopo ni chu6 ambacho hakitoi degree za art ni full science, nadhani ulishakijua.
   
 7. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mtungue japo kwa manati.... then chapa mwendo....
   
 8. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  duh..hiki kizazi ni cha pekee..! kumbe tayari ana mchanganyiko.?
  Kijana lazima ujue unaelekea wapi? Hujamaliza tatizo, unaingia kwenye tatizo. Amua unataka nini
   
 9. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hicho chuo lazima ni SUA tu. Huyo dada atakuwa anatafuta mwanaume anayehisi kuwa ni mzembe ili awe anamtawala. Kumuonyesha kuwa chuo chenu sio wazembe we jipendekeze kwake halafu akikuletea mzigo mega halafu unamtosa. Utakuwa umelinda heshima ya wapiga misuli mizito wenzio.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Labda ndo ubavu wako wa pili..
  mybe just mybe this is it.
  Sasa usiachie kirahisi..
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sasa unatongozwa unalalamika mala oooh mimi sipendwi weka woote kwenye foleni chagua mmoja mkuu!
   
 12. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Hicho ni kipapa cha mji kinatafuta 'crying shoulders' kuja kutulia.Angalia sana kijana
   
 13. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe unaonekana kabisa kuwa huyu binti hauna ''feeling'' nae ndio maana ukaandika/ukatujuza tukupe ushauri...
  FUATA MOYO WAKO....USIFUATE AKIRI INAVYOKUTUMA........kutongozwa(kuwa''approach''iwa) na mwanamke ni kitu cha kawaida ila kuanzisha uhusiano ni kitu kingine kabisa....yani si kukurupuka tu.
   
 14. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh mh!
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160

  Hapo sasa tatizo la kwanza bado hajalimaliza anataka lingine sijui inakuwaje......................................
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mtafune halafu unammwaga...
   
 17. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbona mafumbo mengi kaka, sema chuo chako.
   
 18. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ooh, inawezekana huyu mpya anaweza kuwa mke! Ulikuwa kwenye relationships mbili, bado tu hujajifunza tabia za mabinti?...
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  Mwenzetu ana bahati ya kupendwa.
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Bahati au kujichanganya na kujitakia matatizo kila kukicha.....................
   
Loading...