Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani

Mwanafunzi wa kidato cha tatu wilayani Arumeru mkoani Arusha mwenye umri wa miaka 15 ambaye alitoroka nyumbani kwao kwa zaidi ya siku 30, amerejea akiwa na ujauzito na kudai amefukuzwa na fundi Gereji aliyekuwa anaishi naye Kinyumba mkoani Kilimanjaro.

Mwanafunzi huyo aliyetoroka na baadae kutuma ujumbe kwa njia ya simu, ukisema asitafutwe yupo sehemu salama na anatafuta maisha, amedai ametimuliwa baada ya fundi huyo kuona taarifa GADI TV ikisema kuwa anatafutwa.

Familia imesema inaendelea kumuhoji mwanafunzi huyo na baadae hatua nyingine zitafuata.
Haya mambo yasikie tu yasikutokee ktk familia yako, yanaumiza sana kwakweli na sema hivyo kutokana na uzoefu wangu na ninachokipitia. Tumshukuru na kumtumainia Mungu hawa watoto wa miaka hii ni hatari sana ktk kuyanakili ya ulimwengu kuliko kusikiliza wazazi.
 
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wilayani Arumeru mkoani Arusha mwenye umri wa miaka 15 ambaye alitoroka nyumbani kwao kwa zaidi ya siku 30, amerejea akiwa na ujauzito na kudai amefukuzwa na fundi Gereji aliyekuwa anaishi naye Kinyumba mkoani Kilimanjaro.

Mwanafunzi huyo aliyetoroka na baadae kutuma ujumbe kwa njia ya simu, ukisema asitafutwe yupo sehemu salama na anatafuta maisha, amedai ametimuliwa baada ya fundi huyo kuona taarifa GADI TV ikisema kuwa anatafutwa.

Familia imesema inaendelea kumuhoji mwanafunzi huyo na baadae hatua nyingine zitafuata.
Huyu kweli FUNDI alipeleka machine gereji imerudi ina mimba,😂😂🙌
 
Chuki zangu Kwa walimu Zina sababu, niwanafiki, wahuni, wajinga, waoga, hawajitambui, wezi wa kura za wananchi, wanamadeni ya kipumbavu, masikini, mafukara, makapuku, walevi, wana Tamaa za kishamba, omba omba
Ila ndo wamekufundisha kujua kuandika na jinsi ulivyokuwa na kichwa kibovu wasingekuweza.

Kima wewe
 
Upo kama akili zangu aise, Tangu mdogo wangu apate ujauzito akiwa kidato cha nne, na gharama nilizo tumia tangu yupo kitato cha Kwanza..

Niliapa kabisa, sita ongea naye mpaka kufa kwangu.

Shezi kabisa, nikipata mganga mzuri namtoa kafara nipate utajiri.
Mimba sio ugonjwa ,unaonekana umetoka mwinde sana ukilijua jiji hautamchukia binti mtengenezee mazingira asimame kwa mikono yake.
 
Yaani habari inamzungimzia mwanafunzi kutoroka kwao na kisha kurudi na kibendi.... alafu wewe unazungumzia waalimu kulaaniwa..
Sasa ukipigwa bana utalalamika kwamba umekosewa..??
Anavuta bangi za malawi walimu wanahusikaje hapo sasa
 
Back
Top Bottom