Binti huyu ameniharibia weekend yangu!



Kumbe ndio wewe wa kuliwa tigo eeeh, una bahati sana lakini hatutaacha kukuwinda.
 
Aisee wewe mshukuru mungu wako ungeaibika ,ila na wewe umetongoza leo kesho unata kula papuchi? Jirekebishe usione vyaeleaa.....
 
Da eeeebana eee pole sana jina lingebadilika aiseee 0713........... .? Usingepona
 
Dah aisee nimeimagine ndio mimi aaaaagh hatari sana hii kitu




Sent from Nokla using Jf app
 
sikuizi fumanizi dili, walitaka wakukamatishe halafu wakutoze pesa kibao ili wasongeshe maisha
chezea mjini weye.
 
Wanaume tumekuwa warahisi mno siku hizi...
Unakutana na binti dakika 5 unaomba awe mpenzi kesho yake unataka ukagegede!
Too easy
 

Nimecheka sana,na imagine sa hivi ungekua ushapata kibiongo,maana njemba 4 kila mmoja goli 2,ha ha ha
 

Wanaume sijui huwa mnajiamini nini,mtu mmekutana njiani leo then kesho gesti house....binadamu haaminiki haraka kiasi hicho bro.pole kwa maswaibu
 
Huyu jamaa ni muongo.mara demu katoka chuo mara,anakaa kwa mama mkubwa mara kwao ni shinyanga,mara mme wake..inamaana demu alitoka chuo na mme wake kuja kumsalimia ma mkubwa.?
 
kwanini ulienda kununua hiyo kitu? natamani ungebaki hizo njemba zikushughulikie ipasavyo. nadhani baada ya hapo tusingekuwa na uzi kama huu hapa jukwaani. ungemeza diclopar uugulie maumivu ya huko nyuma kimyakimya.
 
kwanini ulienda kununua hiyo kitu? natamani ungebaki hizo njemba zikushughulikie ipasavyo. nadhani baada ya hapo tusingekuwa na uzi kama huu hapa jukwaani. ungemeza diclopar uugulie maumivu ya huko nyuma kimyakimya.

Da kweli wewe mtata ulikuwa unataka mwenzio aingiziwe zile shaft.
 
Sema poa kaka ajali kazini isijalii kesho akitokea mwengine muendelezo tu
 
Ukome kudandia vya watu ukiona vinaelea ujue vimeundwa
 
kwakuwa umeshajua nimke wa m2. achana nae na mshukuru aliyekuepusha na hiyo dhahma ya kuliwa 0713 cku mingine kua makin sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…