Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Dah kwanza imebidi nicheke,alafu kingine hao madem mnawapatia wapi umeonana nae leo leo unamtongoza na anakubali thenkesho mnapanga kugegedana?? Duh!! Unategemea kweli huyo atakuwa dem yaani mmejuana siku moja ya pili mnapanga mechi.
 
Wadau bwana, unamshuru Mungu kwa kunusurika au kwa kukuepushia dhambi? we unafanana na wale wanaoshangilia wakati wa kugegedana et "Yesu wangu" wakati wapo dhambini.


Hahaha eti Yesu Wangu
 
mmhh, hongera kwa kunusurika aisee, wangetajirika ghafla hao kwa fumaniz feki
 
Mleta mada, hii maana yake nini: "good knite"
 

Ishukuru sana Condom, japo inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, lakini pia imekutoa chumbani ili ukainuue hivyo ukanusurika kufumaniwa!
 
Ishukuru sana Condom, japo inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, lakini pia imekutoa chumbani ili ukainuue hivyo ukanusurika kufumaniwa!

Me nafikiri ajishukuru yeye kwa kuwa na tabia ya kujali.

Na asikome kuwa anaenda kununua condom duka la jirani kila mara atakapokuwa anapata apointment..
 

Kwa maana hiyo dawa ya kugegedewa ni kugegeda alie kugegedea?
 
Cooked.ulimuomba dakika 5 alafu mkaongea mambo mengi.hahahahaha unajichoresha,na kama ni half cooked tayar unatumia dicloper
 
Mimi ni mmojawapo wa wale mabaunsa wanne. Una bahati maana tulikuwa tumepanga kukufanyia kitu mbaya mpaka uchakae. Uache uzinzi na wake za watu
 
hilo ni moja ya madhara ya uzinzi ! umepona safari hii
 
umeona eeeh wajina sister hawa watakuja kutongoza hadi majini kwa kuendekeza ngono
Kuna mmoja ana uzi wake hapa kaachiwa pochi na mwanamke uko kigali...sasa ana angaika.....yani baadhi ya wanaume siku hzi sijui wako kwenye mashindano...mana wako fasta sana kwenye kuchungulia...
 
Last edited by a moderator:
Hii stail imekuwa kama fashion flan hivi! but nadhan kuna wengine wanaonewa kama huyu muungwana.
 
Almanusura wajipatie kifurushi cha "mini kabang"
 
Hii si kweli ila umejitahidi kuipika. Huu usomaji wa magazeti ya shigongo umelemaza vichwa vya vijana wengi. Taifa linaangamia kwa kushindwa kuallocate nguvu kazi kama hii kutwa kucha kutunga hadithi!
 

Sio kila wanawake wana tabia ya ku-complicate matters kama wewe.

Its all about having sexual pleasure. Sasa ulitaka amchunguze kwani alipanga kumuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…