Binti amepotea

Binti amepotea

Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .


Sawa nimerekebisha lkn waambie ikulu pia wabadirishe jina la ugonjwa wa Rais wetu, " tezi dume" kwaani Rais wetu ni mwanamke si wangesema tu amefanyiwa upasuaji wa tezi, au mwanaume anakuwa na tezi jike na tezi dume? samahani lkn wana jamii, sipendi kufanya masihala kwenye ugonjwa, lkn nina maana ya jina la ugonjwa.
 
Kwani wewe hujaelewa nini na unataka nini? Angalia hoja iliyopo mezani, acheni mzaha kwenye mambo ya hatari, msicheze na sexual assault

Wewe ulitakaje? Acha wenye akili waseme!! Unafurahi kuona Kiswahili kikichafuliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom