Binti amepotea

Binti amepotea

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,069
Reaction score
713
binti kike amepotea.jpg

Wana jamii mwenye ndugu aliyepotea, mida ya mchana binti mwenye picha hapo juu alionekana mitaa ya Msasani akiwa ana maumivu makali huku akitokwa na damu km dalili ya kubakwa, binti alionekana km asiye na akili timamu, pia alikuwa akiongea kwa ishara tu. mtoa taarifa aliwakuta wasamalia wema wakijadiliana kuita polisi wa pikipiki kumsadia. Mkononi alikuwa na pesa noti mili za shilingi 500.
 
View attachment 201193

Wana jamii mwenye ndugu aliyepotea, mida ya mchana binti mwenye picha hapo juu alionekana mitaa ya msasani akiwa ana maumivu makali huku akitokwa na damu km dalili ya kubakwa, binti alionekana km asiye na akili timamu, pia alikuwa akiongea kwa ishara tu. mtoa taarifa aliwakuta wasamalia wema wakijadiliana kuita polisi wa pikipiki kumsadia. Mkononi alikuwa na pesa noti mili za shilingi 500.

Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .
Nahisi ume-comment bila kusoma.., unampa pole mtoa mada au..??! yeye hajapotelewa na 'binti wa kike/kiume'.., actually yeye anauliza kama wewe (au yeyote yule) amepotelewa na 'binti wa kike'.
 
Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .

Jamani tuwe seriuos wakatu wa matatizo, hapa tunajaribu kutumia jukwaa hili kuwasaidia ndugu na jamaa wa binti huyu, wewe unaleta mzaha. tafadharini tuache utani, binti amebakwa fikiria angekuwa dadako, mtoto wako na nk.
 
Binadamu tumekosa utu kabisa. Yaani huenda wamembaka binti huyu ambaye anaomyesha ni mlemavu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Nahisi ume-comment bila kusoma.., unampa pole mtoa mada au..??! yeye hajapotelewa na 'binti wa kike/kiume'.., actually yeye anauliza kama wewe (au yeyote yule) amepotelewa na 'binti wa kike'.

Lengo lilikuwa ni kumpa pole pia mleta mda kwani kaguswa na jambo husika na ndio maana kaja kutuleta hapa jukwaani ili tuendelee kumsaka kwa udi na uvumba kila kona ikiwezekana hata kula majani ili mradi huyo binti apatikane, na ndo maana nikaamua kumpa na yeye pole. AU waonaje mkuu Francis
 
Last edited by a moderator:
Tangazo zuri....naomba iweze kuwasaidia waliopotelewa na huyo binti

Ila pia siyo sahihi kusema 'binti wa kike'
 
Nahisi ume-comment bila kusoma.., unampa pole mtoa mada au..??! yeye hajapotelewa na 'binti wa kike/kiume'.., actually yeye anauliza kama wewe (au yeyote yule) amepotelewa na 'binti wa kike'.

Ukisikia binti tunajua ni mtoto wa kike,hakuna binti wa kiume.mleta mada kakosea kuandika binti wa kike.
 
Lengo lilikuwa ni kumpa pole pia mleta mda kwani kaguswa na jambo husika na ndio maana kaja kutuleta hapa jukwaani ili tuendelee kumsaka kwa udi na uvumba kila kona ikiwezekana hata kula majani ili mradi huyo binti apatikane, na ndo maana nikaamua kumpa na yeye pole. AU waonaje mkuu Francis
Bado hujaelewa. Hatumtafuti Huyo binti, tunatafuta walezi wake, legeza ubongo wako kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Haya mkuu , tuliza munkari , mimi nlikuwa namuweka sawa mleta mda , wala sikuwa nina mu attack binti mbakwa.
Ninaondoa shlingi yangu kwa kuwa nimeeleweka vibaya na wewe mkuu MSHINO.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom