Hizi simu Ni Doa, sd636 kwenye 6.2 na 660 kwenye 7.2? Even Samsung wame up their game Wana offer sd 675 kwenye mid-range za hii price point.
Hivi tecno wanazinduaga wapi simu zaoHakuna simu bora kama tecno dunia nzima
Ukibisha ni wivu tu unakusumbua
Ni kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza...Hakuna simu bora kama tecno dunia nzima
Ukibisha ni wivu tu unakusumbua
Nokia 1 pia ya 150K ilitoka na Android 8, ikapata 9 na Sasa itapokea 10.
Mkuu hii price ngapi na nikiitaka naipataje?Subiria open pia hiyo Nokia ya kubofya View attachment 1198882
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]ahego uko sawa kabisa simu ambazo haziko kwenye akili ni nokia na sizipendi [emoji14][emoji14]Hakuna simu bora kama tecno dunia nzima
Ukibisha ni wivu tu unakusumbua
Ni kama samsungMbona ni kama anarudia matoleo yale yale ya zamani...
Cc: mahondaw
Watu wengi wanapenda simu za batani maana unaweza andika meseji hata umelala na ukaipatia na ukaituma. Itel na wenzake wanazingua batani kama jiwe