nokia yupo vizuri sana hadi nokia 2.1 anapokea android 10,,
long live Nokia......
Hakuna simu bora kama tecno dunia nzima
Ukibisha ni wivu tu unakusumbua
Hakuna simu bora kama tecno dunia nzima
Ukibisha ni wivu tu unakusumbua
Nokia 1 pia ya 150K ilitoka na Android 8, ikapata 9 na Sasa itapokea 10.nokia yupo vizuri sana hadi nokia 2.1 anapokea android 10,,
long live Nokia......
watumiaji weng wa simu wanatumia tu 33% ya matumizi ya simu!!Simu ni maongezi bora ya ufanisi pamoja na chaji kukaa muda mrefu kuwezesha hayo maongezi...., mengine yote ni mbwembwe