Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

Huu ni utabiri ama?

Nakupa hii hebu waangalie Chelsea wanavocheza alafu njoo tena ufanye utabiri wako.
Kama uliwaangalia Chelsea walivyo kutana na Juve game ya kwanza uefa huwezi kusema uefa anaweza kuchukua,Chelsea Labda Epl ,Uefa hapana.
 
Inafika hatua hata sisi mashabiki wa Chelsea tunaiogopa timu yetu.

Naamini Kwasasa hakuna timu kubwa inayotaka kucheza na Chelsea.

acha uongo bhuana, Kwa bahati nzuri mpira ni mchezo wa wazi na unachezwa hadharani kila mtu anauona...kwa chelsea ipi ndugu hii yenye shoot on goal 0 au?
9da5d465-e10f-4d04-9b63-2595e9320d56.jpg
 
Mashabiki wa Man U wamevamia uzi na kuanza kuishambulia Chelsea wakati uzi ni wa kubashiri bingwa wa UEFA msimu huu. Itabirieni hata Man U yenu hatutowadhuru.

Chelsea, Bayern, Liverpool
 
Mashabiki wa Man U wamevamia uzi na kuanza kuishambulia Chelsea wakati uzi ni wa kubashiri bingwa wa UEFA msimu huu. Itabirieni hata Man U yenu hatutowadhuru.

Chelsea, Bayern, Liverpool
 
Ni timu tatu pekee mpaka sasa ambazo zimeshinda michezo yao yote. 1) Ajax
2) Bayern Munich
3) Liverpool.

Ajax na Liverpool wameshakamilisha group stage kwa kushinda michezo yote sita ila Bayern ndio anakamilisha leo dhidi ya Barcelona.
 
Ni utabiri wako lakini kwa hatua hii, Mpaka sasa hao ndio timu tishio kwa balani ulaya. Ngoja tuone huko mbeleni.
 
Huu ni utabiri ama?

Nakupa hii hebu waangalie Chelsea wanavocheza alafu njoo tena ufanye utabiri wako.
Chelsea pole sana niliwakataa kitambo sana lakini mliishi kwa kukariri. Real Madrid anawabatiza kwa moto huko darajani
 
Back
Top Bottom