Niliyo jifunza kwenye ulimwengu wa 3D animations.
Zipo softwares za free na commercial softwares.
Commercial softwares mfano Autodesk Maya, 3ds, cinema 4D,
Free software mfano blender.
Autodesk Maya ni software inayoweza fanya Kila kitu kuhusu animations VFX.
Ina uwezo WA Ku handle big project
NI complex, ina bidi utulie ili uweze kufanikiwa . Kuna site za kujifunzia ambapo utakuwa unalipia Kwa Kila episodes zilizoko kwenye stage fulani.
Itapendeza Kama utakuwa na desktop computer yenye uwezo mkubwa mfano i7 gen 9 ram 16 graphics card GB16 and above, monitor resolutions inch 22> .
Pia YouTube tutorials zipo baadhi za kuanzia.
Mfano wa hizo site za kujifunzia NI skills share, domestica, udemy , ukifanya vizuri wanakupatia certificate zao ambazo NI verify worldwide.
Kuna cracks zake Kwa ajili ya Ku unlock features, plugins and other utilities.
Bila kuzi crack inakuwa vigumu kulipia kitu ambacho haijaanza kukupa faida.
Mfano wa project zilizofanywa na Autodesk Maya ni Moana, Coco, zipo nyingi unaweza fatilia YouTube.
Blender NI free software ambayo nayo inao uwezo WA kufanya kila kitu kuhusu 3d animations, VFX
NI nyepesi kuitumia NI nodes based application.
Ndio software yenye tutorials nyingi YouTube kuliko softwares zote za 3d animation.
Hii software ya blender kupitia tutorials zilizoko YouTube unaweza ukajifunza 3D animation na ukapata mafanikio makubwa sana
Ila unaweza jifunzia kwenye site yao ambapo NI Dola 9 Kwa mwezi Kwa Kila stages, na ukifanya vizur unapewa certificate Yao.
Pia hii software inao uwezo WA kufanya VFX artwork vizuri Tu .
Pia ina plugins za free na za kulipia ,.
Plugins NI scripts zilizo generated Ku preform specific tasks.
Unapo Zi install huwa zina libraries.
Mfano plugin ya uoto asili ina libraries za models mfano nyasi, miti, magogo, Maua, ambazo hizo models zina high quality , Kwa hiyo zinaleta tija kwenye muonekano wako WA animation, na zina save time ya kuzimodel, ambapo hata Kama ungesema Uzi model usingeweza kutoa models zenye quality nzuri.
Motions capture technology.
Mfano wa hizi technology NI rokoko hii NI company iko USA.
Wana design suite (nguo maalumu) Kwa ajili ya Ku capture motions,
NI muhimu Sana Kwa sababu ina save time,na ina kupa accurate results za motions kwenye animations zako .
Iko compatible na Autodesk Maya, blender, 3ds cinema 4D, etc.
Bei NI 349$ ,miliion 10 kasoro za ki Tanzania.
Hapo hakuna Tozo,tax , transport fees,
Pia unapo Deal na animations unajikuta automatically unajifunza softwares mbalimbali mfano Adobe after effects hii naitumiaga Kwa ajili ya composition and colour grading, correction etc,
Nuke pia hua naitumia Kwa ajili ya composition,.
Davinci resolve huwa naitumia pia kwaajili ya colour manipulation.
Marvel design hii huwa naitumia Kwa clothes design ya characters.
Ze brush naitumia japo bado naendelea kujifunzia hii ni Kwa ajili ya scripture, ku modeling every thing you want
Jabo Autodesk Maya na blender inafanya vitu vyote hivi .
kadri unavyo zidi kujifunza 3d animations, ndipo unapoamua Ku base kwenye fani IPI mfano unaweza kuwa specialize kwenye VFX artwork, characters modeling, etc.
Huwezi kuwa mtaalum wa VFX bila kujua 3d animations fundamentals
Mambo NI mengi wadau japo ukijipangilia vizuri, mungu 🙏 atakusaidia kwenye malengo Yako
Wenu kwenye ujenzi wa Taifa changa.