Umetoka kuomba kutengenezewa 3d animation Kwa Lisaa li 1, pila malipoHabari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Ujuzi wako uko kwenye nini?Umetoka kuomba kutengenezewa 3d animation Kwa Lisaa li 1, pila malipo
Saa ivi unataka kutengenezewa software ya animation Kwa 2ml tsh.
Una jitia aibu 🥺🚮 Mzee 😂
Tatizo la watu wengi wana vyeti, ila uhalisia kwenye utendaji ndio tatizo lilipo. Bora cheti kiwe ovyo, ila utendaji (practical) iwe juu.Hivi unaweza ukawa profesa/PhD holder wa MD alafu usiwe daktari bingwa? Uko serious kweli?
nitaitakutafuta unipe mbinu hizo mkuuIla Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.
Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
duuTatizo la watu wengi wana vyeti, ila uhalisia kwenye utendaji ndio tatizo lilipo. Bora cheti kiwe ovyo, ila utendaji (practical) iwe juu.
Ujuzi wako uko kwenye nini?
Kama wewe ni bingwa, tengeneza hii 'clip':-Creating animation
Kama kiasi gani?Hii KAZI naiweza, japo Sina mavyeti ya IT Wala software engineer, Tanua figure tuipige kaz.
Fanya 5.5M.Kama kiasi gani?
Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Kazi ya miezi m4 kwa bongoKama wewe ni bingwa, tengeneza hii 'clip':-
Kiazi: rafiki yangu yai, hujambo? Yai: Sijambo kabisa rafiki yangu kiazi, nasikia leo binadamu anataka atukaange; 'mimi, wewe, pamoja na rafiki yetu mafuta.' Kiazi: hee!! jamani, mbona binadamu anatuonea hivi? Mafuta: Msilie rafiki zangu kiazi na yai; 'haya ndio maisha tuliyoyachagua'
Itachukua muda gani kumaliza, na isiwe na kasoro yoyote? Kama kuna kazi za namna hiyo ulizofanya, nitumie nione.Fanya 5.5M.
Lengo ni kurahisisha kazi; tukiruhusu kila kitu kiwe kigumu hakuna kazi itakayofanyika. Ni sawa na mwingine atumie gari kwenda Mwanza, na mwingine atumie ndege; mwisho wa siku wote wamefika Mwanza.Na hapo kwenye kutoa mafunzo hii Kwa kila mtumiaji hii so rahisi,
Pia program lazma iwe strictly angalau Iwe Bora zaidi,
Ni kwamba kadiri program au software inavozid kua rahisi kitumia ndio hata vitu vitakavotengenezwa navyo vitakua very low ( quality & design)
Ila prgrm ikiwa nzito kutumika yenye vitu strictly na code za maana hata animation zotakua Bomba sana,
Nimejaribu kuzipitia, naona zina ugumu; zina vitu vingi vinavyoumiza kichwa.3D animation software mbona zipo nyingi tuu, nunua moja and learn how to use it, not sure hata kama unahitaji developer kwenye project yako labda kwa project guidance/ deployment etc
Kakimbia, hajaleta mrejesho
Akazoe adobe na tutorial yake ajipigie kaziKakimbia, hajaleta mrejesho
Unatakiwa uogope kula ela ya kula[emoji15]Daaah ela ya jamaa haitosh ata kula ili kaz iishe