Bingwa wa kulike kapotelea wapi?

Bingwa wa kulike kapotelea wapi?

Kuna mtu alikuwa anaitwa joseeverst sijui yeye alikuwa anakomenti wa kwanza thread karibu zote
Gen z kama hamumjui mtajua wenyewe
😂 Kuna kipindi alipotea jukwaani, wakasema ameenda Tandabui kusoma ( Tandabui College ilikuwa maarafu kipindi hicho)
 
Back
Top Bottom