Bingwa wa kukosea

Ngojeni nimeze mate kwanza.Mbona mnachekesha mfululizo?? Hahahahaha duh!
 
Hapa kwetu tuna ushirikina sana! (ushirikiano) pokea zawadi.
 
Nakata mbwa kona hiyo nakata mbwa kona hiyo nafka jasho gheto linanitiririka!
 
Heeee hatari lakini lasama, "CHAMA CHA DEMO NA MAANDAMANO" By Arusha RPC, Angendenye iasto
 
leo ntakunywa baa mpaka bia zifungwe
tigwa anafukuzwa na shimba
 
kila ukiitwa umekuwa ukiharisha, lakini leo umekunya, tunashukuru kwa kunya kwako
 
nauza comfyuta, upss! nimechapia anyway ulimi hauna mpupa.
 
Kila ukitaka ku......unaha.....sha bahati nzuri leo afande ume......nya ofisini karibu sana maafisa wote wapo na tuko tayari kukusiiiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…