Poleni sana Wananchi wa Malawi. Sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe/Lihimidiwe! Wandugu tutimize wajibu wetu tukiwa hai kwani tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hivyo tusijisahau na kuwanyanyasa wenzetu. Tupendane, tuthaminiane, tuheshimiane, tushirikiane na tudumishe upendo wa kindugu baina yetu kwani sote tu wasafiri ila tunavituo tofauti (ie muda wa kifo).