Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,900
- Thread starter
-
- #41
kuoza ni kule kule hata akizikwa wapi....
kuoza ni kule kule hata akizikwa wapi....
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.
Wengine hupuliziwa dawa hawaozi ila miili yao hukauka tu. Lakini ukweli unabaki kila mtu kuwa ni udongo na kurudia kuwa udongo tu.
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.
Kaka hapo kwenye red ni ya kweli lakini?kama ni kweli anakuwa sawa na yule raisi wa Tunisia aliyekimbia na kuacha makabati yaliyojaa dolali,si ajabu hata hapa petu yapo,kama mdau mmoja alivotoa uzi wake hapa kuna haja ya kuwa kwenda ku scan huko mipesa mitaa ya masaki,Mbezi na Kifungiro (Lushoto),Bagamoyo na ile mitaa ya kuanzia Chalinze mzee hadi mto WamiNa yale amgunia 30 ya dola ameyaacha maskini
Nenda ukapate hukumu unayostaili under the fair judgement toka kwa mola.
Hakuna kuhonga uko!
Tatizo ni kuwa huwa hatupati feedback ya haya mambo uko tuendako
Sijui hawa viongozi wetu wanalijua hili kua ipo siku watakiwacha kila kitu na hakuna kitakachowasaidia ila amali zao...
nawaonea huruma sana wanapowafanyia wananchi ubaya..
What a monstrosity of a palace.
Hata uwe mummified vipi, bottom line huna uhai
Ni kweli mwendo ameumaliza lakini je ni kweli aliilinda imani na taji atavishwa?
MIMI NIKIFA HILI LANITOSHA
Pichani kaburi lake likiwa ndani ya jumba lake la kifahari kwenye shamba lake, ameandaa jumba la kifahari atakapostaafu lakini Mungu akamwambia naitaka roho yako kabla hujastarehe kwenye jumba hili ulilojenga kutokana na kodi za wananchi.
Natumaini Mpendwa Rais Mstaafu wa Malawi sasa atapumua.
Mdogo wake naye kanyang'anywa tonge mdomoni. Walitaka kurithishana nchi kama wanavyorithishana uchiefIt is indeed a monstrosity. Yet, in an address on the burial day, the late president's brother, Mr Peter Mutharika castigated people like you and me for that thought. He claimed it to have only 5 bedrooms.
Mdogo wake naye kanyang'anywa tonge mdomoni. Walitaka kurithishana nchi kama wanavyorithishana uchief