Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,283
- 4,481
Kuna watu hawaamini katika Bing Bang but I want to assure you that Bing Bang is a real thing.
Ni Big Bang sio Bing BangBing bang
Mpasuko wa dunia unayoishi kwamba ilianza km Nukta tu kisha ikapasuka pwaa na kua km ilivyoElezea basi hiyo theory ni nini na how is it real.
Mimi sijawahi kuisikia
How can you help us what caused it based on Quran?Quran ilishaeleza hiyo issue na zaidi miaka 1400 iliyopita
It is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.Elezea basi hiyo theory ni nini na how is it real.
Mimi sijawahi kuisikia
😂Umenikumbuka Physical Geography Advance Level. 😁
Physics pia inahusika hapoUmenikumbuka Physical Geography Advance Level. 😁
I think Issue ya space is more physics than geographyPhysics pia inahusika hapo
Mfano ukilichukua Yai ukaliweka ndani ya maji yanayochemka zaidi maji yanavyochemka ndio Yai linavyozidi ku-expand [kutanuka] na mwisho Yai hupasuka paaa na kuachia mfereji wa HormusIt is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.
Physics pia inahusika hapo
💯 Well explainedMfano ukilichukua Yai ukaliweka ndani ya maji yanayochemka zaidi maji yanavyochemka ndio Yai linavyozidi ku-expand [kutanuka] na mwisho Yai hupasuka paaa na kuachia mfereji wa Hormus
Why?It is not a theory anymore
Bing Bang doesn't explain origin of life but how universe was formed. Stars, Galaxies and more.How have you proved it to be real and not just like other theories that have tried to explain the emergence of life?
Imeeleza kitu gani?Quran ilishaeleza hiyo issue na zaidi miaka 1400 iliyopita