honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 236
Kabla ya kusema chochote naomba kuwafahamisha, mimi sio mganga, sio mama jusi, sio mtabiri, sio mnajimu, simu sheikh bali ni mtu tu kama watu wengine ambaye napenda kujaribu mambo ili kuuthibitisha ukweli wake!
Kuna issue niliwahi kuiskia before, kuwa unaweza kutoka nje ya mwili au kufanya meditation kwa kutuliza nafsi yako kupitia binaurial beats
Je kuna ukweli ndani yake?
Binafsi sijui kwa undani kuhusu binaurial beats, ila ninachokifahamu ni kuwa ni wave mbili za sauti ambazo zinapita kwenye masikio yote mawili zikiwa na frequency tofauti, hivyo ubongo unafanya kuzibalance ziende sawa na waves za ubongo!
Kuna beats ambazo ziko alpha, beta, gamma, theta na nyinginezo ambazo kila moja itakayoingia kwenye ubongo wako, itauvurugua na kuuweka kwenye state itakayoihitaji!
Kiukweli, tokea nimetumia binaurial beats za You Tube kwa jaribio la kutoka nje ya mwili, sikufanikiwa, badala yake zilitengeneza ndoto za Lucid zilizo na nguvu (powerful lucid dreams)
Na ni baadhi yake, make zilizo nyingi hazifanyi kazi
(Tafuta za Mr Theta) kidogo zina uharisia!!
Binaurial beats zenye nguvu ni zile zinazopatikana Play Store, andika binaurial beats kisha fanya chaguo sahihi!! Nitakuja kutengeneza thread nyingine niwaeleze binaurial app moja na nyingine!
Kuna App niliitunia, nilijikuta naota ndoto wakati nimefumbua macho na nilikuwa sijalala, ilivuruga ubongo kiasi kwamba nilianza kuota dk 10 tokea nianze kuzisikiliza! Na pindi niliposinzia tu niliweza kuiamsha nafsi na kwenda mbali zaidi nisikokujua!
Inashangaza!!
Mwanzoni wakati naitumia, ilitengeneza giza kwenye macho pale nilipojaribu ku concentrate pasipo kupapasa macho! Nilijawa na hofu, ni kama vile unaelekea kuwa kipofu, lakini muda sio mrefu wasiwasi uliondolewa! Ni kama nilipigwa nusu kaputi! Zile ndoto za mchana za unaota huku unacheka, unashtuka unalala tena zilikuwa za kawaida!! Sifahamu kama nili undergo Austral Projection, make sikugeuka nyuma kuutazama mwili wangu! Ila nimeenda mbali zaidi ambako sikufahamu binafsi!!
Nitaendelea kuwajuza mengi tu!
Kikubwa uzima!!