That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,228
- 3,709
Bwana kuwa mwangalifu na binaural beats, meditation, lucid dreams, astral projection nk ni new age movements na ni hatari kwa usalama wako wa kiroho.Kabla ya kusema chochote naomba kuwafahamisha, mimi sio mganga, sio mama jusi, sio mtabiri, sio mnajimu, simu sheikh bali ni mtu tu kama watu wengine ambaye napenda kujaribu mambo ili kuuthibitisha ukweli wake!
Kuna issue niliwahi kuiskia before, kuwa unaweza kutoka nje ya mwili au kufanya meditation kwa kutuliza nafsi yako kupitia binaurial beats
Je kuna ukweli ndani yake?
Binafsi sijui kwa undani kuhusu binaurial beats, ila ninachokifahamu ni kuwa ni wave mbili za sauti ambazo zinapita kwenye masikio yote mawili zikiwa na frequency tofauti, hivyo ubongo unafanya kuzibalance ziende sawa na waves za ubongo!
Kuna beats ambazo ziko alpha, beta, gamma, theta na nyinginezo ambazo kila moja itakayoingia kwenye ubongo wako, itauvurugua na kuuweka kwenye state itakayoihitaji!
Kiukweli, tokea nimetumia binaurial beats za You Tube kwa jaribio la kutoka nje ya mwili, sikufanikiwa, badala yake zilitengeneza ndoto za Lucid zilizo na nguvu (powerful lucid dreams)
Na ni baadhi yake, make zilizo nyingi hazifanyi kazi
(Tafuta za Mr Theta) kidogo zina uharisia!!
Binaurial beats zenye nguvu ni zile zinazopatikana Play Store, andika binaurial beats kisha fanya chaguo sahihi!! Nitakuja kutengeneza thread nyingine niwaeleze binaurial app moja na nyingine!
Kuna App niliitunia, nilijikuta naota ndoto wakati nimefumbua macho na nilikuwa sijalala, ilivuruga ubongo kiasi kwamba nilianza kuota dk 10 tokea nianze kuzisikiliza! Na pindi niliposinzia tu niliweza kuiamsha nafsi na kwenda mbali zaidi nisikokujua!
Inashangaza!!
Mwanzoni wakati naitumia, ilitengeneza giza kwenye macho pale nilipojaribu ku concentrate pasipo kupapasa macho! Nilijawa na hofu, ni kama vile unaelekea kuwa kipofu, lakini muda sio mrefu wasiwasi uliondolewa! Ni kama nilipigwa nusu kaputi! Zile ndoto za mchana za unaota huku unacheka, unashtuka unalala tena zilikuwa za kawaida!! Sifahamu kama nili undergo Austral Projection, make sikugeuka nyuma kuutazama mwili wangu! Ila nimeenda mbali zaidi ambako sikufahamu binafsi!!
Nitaendelea kuwajuza mengi tu!
Kikubwa uzima!!
Eeh Mkuu hebu imagine beat la Marehem CPwaa lile la Six in de morning!Kwamba unasikiliza za P funk majani😅😅😂
nope, not at all.
Zipo za KILA category zote,zipo za kufukuza Mende,panya,nyoka, mapepo, wachawi.Beats za Bongo Records zinatosha aisee hizi beat zenu za kukaribisha majini sikilizeni wenyewe
Zipo za positive effects power.Nasikia zina negative effect....Je ni zipi hizo?
Vipi zile za positive ni nzuri au ni mitego tuBwana kuwa mwangalifu na binaural beats, meditation, lucid dreams, astral projection nk ni new age movements na ni hatari kwa usalama wako wa kiroho.
Uwoga tu😂Hizi waves sounds nilizijaribu siku moja usiku sikuwa na usingizi nikasema ngoja niweke relaxing sound waves dakika chache nilishindwa nikaweka Christian Hill songs praise and worship. Ndipo nikapata amani nikalala
Huyu jamaa alinifanya nkamjua nelly kamwelu yule mremboEeh Mkuu hebu imagine beat la Marehem CPwaa lile la Six in de morning!
Hatari sana mzeeHuyu jamaa alinifanya nkamjua nelly kamwelu yule mrembo
Hahahahahaha hapo tunaenda sawaZipo za KILA category zote,zipo za kufukuza Mende,panya,nyoka, mapepo, wachawi.
Za kubalance brain,za kuondoa stress,za kuingiza uwepo wa nguvu ya Mungu ndani mwako.Za kutibu mwili,nk.
Mimi sijazijaribu nikizichek youtube naona kama zitanipeleka ulimwengu mwingine.
Nikiwa na stress au akili yangu kuathirika na nguvu hasi, tiba yangu huwa naweka headphones nakula sebene La Mopao, au werrason negative energy zote zinatoka. Usiku huwa naweka Hillsong,praise and worship songs, nakula Gospel kufukuza negative.
Hapa nipo nakula Mopao andrada, attetant live concert kupitia JBL bluetooth speaker extremes 2 na feel kama nipo U arena ndani ya jiji la Paris.
Yote hayo hayaaminiki kuna njia nyingi zinatumika kuwateka watu kiroho siku hizi na watu wengi hawaamini vitu hivi.Vipi zile za positive ni nzuri au ni mitego tu
Dah mkuu huo mchezo sio mzuriYote hayo hayaaminiki kuna njia nyingi zinatumika kuwateka watu kiroho siku hizi na watu wengi hawaamini vitu hivi.
Hata ufanya simple meditation na sio deep meditation, tafakuri inasaidia kupata mtazamo mpya juu ya maisha au jambo fulani.Ni SAwa na kuiformat disc Ili irefresh upya.Hivi tutaacha lini kutishana..? Miafrika imekaa kutishanatishana tu!, asilimia kubwa ya komenti kwenye huu uzi ni matisho! Mara utakutana na jini makata sasa tofauti iko wapi maana hata usipofanya hiyo astrol projection huyo makata anaweza kukuingia na akajituliza nawewe!.
Hao majini mnaipigana nao kwa kuwatoa huwa wametokea wapi..?
Hili zoezi nilishawahi kujaribu hakuna nilichoambulia zaidi ya kutuliza akili tu!,toka nimeijua astrol projection sijawahi soma humu ati kuna mtu kaiweza!,haya mambo naona Kama ni uchwara tu! Meditation naweza itumia kama utulivu wa kupata usingizi kwa haraka..
Acheni kucharua watu ati kuna jini makata upuuzi tu hayo,Kama Kuna mtu alishawahi kuona jini aje hapa atuthibitishie na kama Kuna ulimwengu wa kiroho aje hapa atuthibitishie,mkishindwa nanyi nitawaona Kama hiyo mizimu ya huko meru inayorusha mawe naona imekosa mambo ya kufanya na hiyo mimmtu inayorusha mawe itafutwe itiwe adabu Bata kabisa.
Yaleyale tu Kama wao ni warohoni nyie mmewajuajeHata ufanya simple meditation na sio deep meditation, tafakuri inasaidia kupata mtazamo mpya juu ya maisha au jambo fulani.Ni SAwa na kuiformat disc Ili irefresh upya.
Jini ni kiumbe cha ulimwengu wa roho huwezi kukiona live labda tu kiamuae kujitokeza. Tabia zote za ndani ni matokeo ya nguvu ya kiroho iliyopo ndani Mwa mtu. Hasira, magomvi, ubinafsi, wizi nk. Roho zipo za pande mbili toka kwa Mungu na Shetani.
Duniani elimu imegawanyika pande mbili ya mwilini na ya rohoni.Yaleyale tu Kama wao ni warohoni nyie mmewajuaje
Ulimwengu usiooneka sijui nyie mmeuonaje tu!.. mkuu acha sarakasi hoja zangu nafikiri huwezi zijibu maana yaonyesha hata we mwenyewe hujawahi experience huo ulimwengu wa kiroho zaidi ya kukaririshwa tu!Duniani elimu imegawanyika pande mbili ya mwilini na ya rohoni.
MWILINI ulimwengu unaonekana
sayansi, technology,siasa, Jamii,sanaa na michezo, ufundi, mazingira nk
ROHONI ulimwengu usioonekana
Nguvu za giza, uchawi, nguvu, asili,hisia, usomaji macho, uso, mkono, elimu kuhusu nyota, elimu kuhusu siku, siri zilizojificha, unajimu, falaki, elimu kuhusu Mungu, Shetani,Meditation, kundalini, astra, yoga, ninja, Yesu, nguvu ya damu, nk.
Elimu ni pana.
Endelea kujifungia gizaniUlimwengu usiooneka sijui nyie mmeuonaje tu!.. mkuu acha sarakasi hoja zangu nafikiri huwezi zijibu maana yaonyesha hata we mwenyewe hujawahi experience huo ulimwengu wa kiroho zaidi ya kukaririshwa tu!