Binamu Nyama ya Hamu..

Asingekua binamu u would go for a date......
 
Asingekua binamu u would go for a date......

Ningeangalia. .... ingetegemea vitu vingi...
Labda ningechukulia kama moja ya crushes za Kasie. ... ila ndugu na niliyemzidi umri. .... nafunika kombe mwanaharamu apite. ..
 
Pole mkuu ila ungempa haki yake alafu c vema kumblock ktk mawasiliano cha msingi muekee mipaka tu hopefully atakutii

Asante, hapana siwezi hata kumbusu. ... yaani unajua nilipatwa na mshangao baada ya mtu niliyekuja kumpokea ni yeye.....
Kwa jinsi alivyo sitaki hata azidi kinizoea. ..
 
Kupenda binamu sio dhambi ma ake hi i vitu vinatokeaga tu automatically.Muombee hiyo haki huwa inaisha.mm iliwahi nitokea huko nyuma nashukuru Mungu ilikwisha kabisa

Mmmhhhh sio dhambi...!!?? Labda kama ni wasomali au waarabu maana nasikia wao ndo zao. Ajiombee mwenyewe mie hata simuombei sana sana simpi nafasi ya kinizoea. Wanawake wote hawa duniani hawamtoshi hata anifate mie? Tena ndugu...? Aahhh siwezi mambo hayo mie.
 
Muonjeshe mara moja alau aridhike nawe pia uridhike. Ikitokea mmeridhikana basi muendelee kuridhishana maana huu mchezo hauangalii undugu... ni misuguano tu ya misuli ya watu wawili wenye jinsia tofauti. Undugu ni jambo la pembeni saana.

Mmmmhhhhh tangu nimekuzwa sikufundishwa hivyo aisee. Ndugu ni ndugu na hawezi kuwa mtu baki ili mfunuane chupi. Nyie kwenu huwa mnaanza hivyo? Huyu binamu yangu naona atakuwa hayupo sawa..... anaanzaje sasa kunifunua nguo mie dada yake.... halafu tukiwa kwenye vikao vya ndugu... tunatizamana tuu kama vile hakuna kilichotokea. .... aaah siwezi aiseeh
 
Reactions: MC7
pole sana,

huyo binamu hata baada ya kujua wewe ni binamu yake na bado akataka,basi ni baradhuli huyo,hafai kuwa mumeo,labda ndio zake,anawaparamia dada zake na binamu zake ndio maana haogopi.......🙁🙁🙁🙁🙁

Yaani ni zaidi ya baradhuli aiseeh mie kanichosha kabisaa sitaki hata awe karibu yangu.
 
Edo Kumwembe jana kaenda SA, na ana miaka kama 40 hivi...ukijumlisha 10 years unaweza kupata 50 years ambayo inaweza kuwa miaka ya Kasie!

(Just joking...)

As you bracket it.... it's just a joke.... Edo sina undugu naye.
 
Basi umefanya jambo la mbolea make nasikia siku hizi mnaogopa sana kujambiwa ndani wenyewe.

Kila mtu anapumua kwa njia zote mbili... juu na chini. Mtu ninayemfunulia chupi yangu ruksa kunijambia wakati wowote, sio ulemavu huo ni afya. Na ukiona mtu hajawahi hata siku moja kukujambia ujue kuna mambo anakuficha.
 
Kazi kidogo.... yaani saa ingine kuna watu sijui huwa wanaamua tuu kujilipua. ...
haya mapenzi haya sijui nani aliyaleta.

ila ungeongea nae kwa upole na unyenyekevu umpe madhara ya kuwa na wewe na faida ya kutokua na wewe.

kumuacha namna ile mtu aliyejilipua kiasi hicho anaweza kuja kufanya kisasi kikubwa sana na mkaja kujutia wote katika maisha yenu.

unajua haya mambo bwana ya ajabu sana.
 
Kila mtu anapumua kwa njia zote mbili... juu na chini. Mtu ninayemfunulia chupi yangu ruksa kunijambia wakati wowote, sio ulemavu huo ni afya. Na ukiona mtu hajawahi hata siku moja kukujambia ujue kuna mambo anakuficha.
Umesema neno la msingi sana hasa hapo nilipobold. inaonekana unaijua sana thamani yako. na unadhamini saana mtu unae amua kumvulia pichu yako. wengi sana hawajui kabisa hiyo thaman wao wajua kuvuavua tu.
 

Hahahaaa Bavaria.....
Unamfahamu huyu binamu? Maana haya uliyoyasema hapa ndo alivyoniambia. ...
Ati namnyima sasa hivi ila hakati tamaa ndo kwanza nimemuongezea kasi ya kunifatilia na ameniapia atakula tuu nyama ya hamu yaani mimi.....
 
Safi sana...umefnya vema maana km ungempa mda wa kumsikiliza huwez jua labda hta ungebadil msimamo wko kwan na shetan ibilis yupo Lindon... huyo ni pep mchaf!!!
 
watoto wa siku hizi hawana adabu hata kidogo utakuta kingine kinakutongozaaa unashangaa unajiuliza huyu mtoto kwao Hamna wakubwa?!!
 
Atakuwa kuna kitu anatafuta si bure....
Yaweza kuwa anafanya dawa za kishirikina. We utafanyaje mapenzi na binamu.... yaani namuepa kuanzia sasa sitaki hata kumsikia wala kumuona.
Kasie,
Kwani huko kwenu kuna ka dalili ka kuwapo washirikina ... ? Manake ni kweli kuna watu wanafanya haya mambo ya hovyo hivi kwa ajili ya KUJITAKASA, KUVUTA BAHATI, nk ...
Lakini pia kuna wanawake wana KISMETI sana Kasie ..., ukimtobma mwanamke wa aina hiyo, kama una ma dili yako yanatiki kinomaaaa ...!

Sasa inawezekana na wewe una mvuto fulani na Kismeti ... Ukiona mwanamke unatunzwa vizuri jichunguze ... Manake mjeshi wako ndio maana hatoki, yeye ni ku recharge kismeti chake tuu ...
 
Muonjeshe mara moja alau aridhike nawe pia uridhike. Ikitokea mmeridhikana basi muendelee kuridhishana maana huu mchezo hauangalii undugu... ni misuguano tu ya misuli ya watu wawili wenye jinsia tofauti. Undugu ni jambo la pembeni saana.
Kwi kwi kwi...
Kuna ile story ililetwa huku jamvini kama 3 weeks ago, mtu na binamu mpaka na mapacha juu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…