Looh tangu 2016...!!??
Binamu alishaoa sasa hivi anapambana na familia yake, naona kipindi kile alishikwa na mfadhaiko halafu alikuwa domo zege kutongoza wanawake wengine huko duniani.
Akachukua advantage kuwa niko singo, naishi mbali na nyumbani ndo akaona aje kunilaghai...
Kile kibao kilimstua akili yake ikakaa sawa, hakurudia tena.