Asante Mkubwa kwa hapo kwenye blue, pamoja daimaHuyo ni sawa tu na dada yako!
Leo umeanza na binamu kesho utatwambia mtoto wa babamdogo!
Mbona wanawake wazuri na wafaao wengi tu? Hiyoni tamaa tu imewafunika!
kama ni waislam wanaruhusiwa kwa sana tu na dini yao kuoana.
and i do agree binaamu ni nyama ya hamu (dont ask me how) heheh
hii mpya sana kwangu G...
nidhani ni tabia ya waarabu tu and has nothing to do with Islam!!
Kaka/dada yangu, hebu nifafanulie hapo kwenye blue tafadhali.Mimi Mchungaji na mwana-kabila langu mzuri sana, yaani naijua mila vizuri..........kwetu ni kosa kubwa, haitakiwi hata kidogo.......sijui wengine
Kaka/dada yangu, hebu nifafanulie hapo kwenye blue tafadhali.
Umenitoa kwa knock out! Please do the needful.
pili hii ni inawezakuleta matatizo ya kwenye ukoo kuna magonjwa ya kurithi kama albino,kansa,sikoseli,kifafa na kadhalika yanaweza yasiishe maana watoto wenu watazaliwa na chembechembe za matatizo hayo kwa sababu damu ni moja,lakini kuna chance kubwa ya kuepuka kama ukiolewa na ukoo wa mbali kutofautiana matatizo ya kurithi,
na zamani kama sisi kwetu walikuwa tena wanakataza wazee kuoana kama mmetoka kijiji kimoja kwa kuhofia kuwa mkawa ndugu.yaani mke wako anatakiwa atoke kijiji kingine cha mbali