Binafsi sijaielewa hii picha

wakuu mimi binafsi nashindwa kuelewa hii picha na jinsi huyo mdada aliesimama alivoshika tama sijui alikua anamaanisha nini.. kama umeielewa tuelezeeee tuelewe na sisiView attachment 1093972
Huyu aliyeshika tama hana id ya mzee baba ilihali anauza bidhaa zake.
Sasa anaona akifikiwa sijui itakuaje.

Maana inaonekana huyo msela kama vile anafanya ukaguzi wa watu wenye hizo ID
 
Huyo hata kumtoza 1000 kwa mwaka ni dhambi kubwa maana hakuna anachofaidi hapo zaidi ya kutafuta 300 ya madaftari ya mtoto wake. Yaani mchicha fungu 4 ni mfanyabiashara!!?
shid binadam tunasahau 20 atapiga ten huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…