Binafsi siamini kama mbinguni ni kuzuri kuliko duniani

Binafsi siamini kama mbinguni ni kuzuri kuliko duniani

Wewe bikra yako ulitolewa na wauza chipsi au na mabodaboda? Naona umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao,

Baada ya kupigwa Dudu na kuipoteza bikra ukaamua kujiita dudus,kweli dudu halina huruma aisee.
Kichaa kimekuanza tena ee?
 
Quran(55:56)
فِيهِنَّ قَاصِرَاتُ الطَّرْفِ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنْسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ

Maana: Humo watakuwamo wanawake wenye macho yaliyoinamishwa, ambao kabla yao hawajaguswa na mwanadamu wala jini.
 
Hapo VIP!!

Kuna imani ambayo tumeaminishwa yakwamba mbinguni ni kuzuri kuliko duniani,na MTU anayekuaminisha hajawahi hata kufika huko na kurudi..maan yake hii itakuwa kama conspiracy theory.

Hivi ni kweli kwamba mbinguni pamendelea kuzidi uzuri wa huku duniani kam new York,Dubai,Landon,Tokyo,n.k

Yaani mbinguni kuna nagari mazuri kuzudi Ferrari, larbogin,n.k na ndege,meli nzuri kuzudi hizi za duniani Kweli?

Sijui,ila kama mbinguni ni kuzuri kuzidi huku duniani basi Mungu atukunze haswa.

Binafsi siamini aisee mpaka nione palivyo ila sidhani kama nitaamini kirahisi.

Inaweza ikatokea baadhi ya watu wakifika huko mbinguni,baadaye wakatamani kurudi duniani Kwa sababu ya uzuri wa duniani.
Sisi mpaka sasa tunaishi katika mbingu na nchi ila mbingu na nchi tuliyonayo imachafuka
Maana tunaishi
Wanadamu
Ibilisi
Na uzao wa majitu

Hivyo Mungu ameamua kuumba mbingu nyingine na nchi ili selected wake awatie katika mbingu hii na nchi hii ambayo imechafukwa kwa uwepo wa shatani

Awape mbingu na nchi mpya ambako shetani hatokuwepo kufanya kuwe na amani milele
 
Quran(41:31)
وَلَكُمْ فِيهَا مَا تَشْتَهِي أَنْفُسُكُمْ وَلَكُمْ فِيهَا مَا تَدَّعُونَ

Maana: Na humo mtapata kila kinachotamaniwa na nafsi zenu, na mtapata kila mtakachoomba.
 
Quran (44:56)
لَا يَذُوقُونَ فِيهَا الْمَوْتَ إِلَّا الْمَوْتَةَ الْأُولَىٰ

Maana: Humo hawataonja mauti isipokuwa mauti ya kwanza (waliyokwishaipitia duniani).
 
Quran (56:20–21)
وَفَاكِهَةٍ مِمَّا يَتَخَيَّرُونَ ۝ وَلَحْمِ طَيْرٍ مِمَّا يَشْتَهُونَ

Maana: Na matunda ya aina wanazozichagua, na nyama za ndege wanazozitamani.
 
Ni kuimba tu milele...mimi sitaki kwa kweli, milango ya dhahabu itanisaidia nini mimi? Then issue ya milele , infinity sio nzuri! Kifo kibaya ila kinafariji...sasa uishi tu no kufa..nope!
 
Quran (47:15)
مَثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِنْ مَاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِنْ لَبَنٍ لَمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِنْ خَمْرٍ لَذَّةٍ لِلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِنْ عَسَلٍ مُصَفًّى

Maana:
Mfano wa Pepo waliyoahidiwa wachamungu: ndani yake kuna mito ya maji yasiyoharibika, mito ya maziwa ambayo ladha yake haibadiliki, mito ya kinywaji kitamu kwa wanaokunywa, na mito ya asali iliyosafishwa.
 
Ni kuimba tu milele...mimi sitaki kwa kweli, milango ya dhahabu itanisaidia nini mimi? Then issue ya milele , infinity sio nzuri! Kifo kibaya ila kinafariji...sasa uishi tu no kufa..nope!
Soma kitabu cha Quran,kipo clear sana yaan inachambua kiuwazi starehe za huko....kule hakuna kuimba wala mapambio,Mungu mwenyewe muumbaji anakiri katika Quran kwamba kule ni bata mwanzo mwisho.
 
Mtume Muhammad ﷺ amesema katika Hadith Qudsi kwamba Allah amesema:
أَعْدَدْتُ لِعِبَادِيَ الصَّالِحِينَ مَا لَا عَيْنٌ رَأَتْ، وَلَا أُذُنٌ سَمِعَتْ، وَلَا خَطَرَ عَلَىٰ قَلْبِ بَشَرٍ
Maana: Nimewaandalia waja Wangu wema yale ambayo jicho halijawahi kuona, sikio halijawahi kusikia, wala hayajawahi kupita katika moyo wa mwanadamu.
 
Soma kitabu cha Quran,kipo clear sana yaan inachambua kiuwazi starehe za huko....kule hakuna kuimba wala mapambio,Mungu mwenyewe muumbaji anakiri katika Quran kwamba kule ni bata mwanzo mwisho.
Nitajie kadhaa
 
Nitajie kadhaa
Zipo nyingi sana kaka,hebu zingatia maneno haya chini ndo utapata picha huko kukoje.

Mtume Muhammad ﷺ amesema katika Hadith Qudsi kwamba Allah amesema:
أَعْدَدْتُ لِعِبَادِيَ الصَّالِحِينَ مَا لَا عَيْنٌ رَأَتْ، وَلَا أُذُنٌ سَمِعَتْ، وَلَا خَطَرَ عَلَىٰ قَلْبِ بَشَرٍ
Maana: Nimewaandalia waja Wangu wema yale ambayo jicho halijawahi kuona, sikio halijawahi kusikia, wala hayajawahi kupita katika moyo wa mwanadamu.
 
Zipo nyingi sana kaka,hebu zingatia maneno haya chini ndo utapata picha huko kukoje.

Mtume Muhammad ﷺ amesema katika Hadith Qudsi kwamba Allah amesema:
أَعْدَدْتُ لِعِبَادِيَ الصَّالِحِينَ مَا لَا عَيْنٌ رَأَتْ، وَلَا أُذُنٌ سَمِعَتْ، وَلَا خَطَرَ عَلَىٰ قَلْبِ بَشَرٍ
Maana: Nimewaandalia waja Wangu wema yale ambayo jicho halijawahi kuona, sikio halijawahi kusikia, wala hayajawahi kupita katika moyo wa mwanadamu.
Ok sawa...ila hata iwe raha vipi sitaki mambo ya kuishi milele kwenye izo raha.
 
Back
Top Bottom