Binadamu wote ni sawa..!

Uku kwetu ukisema "tunakulisha na kukuvalisha kwa kodi zetu" wanakudaka kwa kosa la uchochezi.
 
it's all about growth and development..
Ndio hivyo hivyo.baada ya hawa kuumbwa kwa ubavu.akakuwa na kuendelea.unajua kama malaika wameumbwa kwa nuru?na majini yameumbwa kwa moto?tumuache mungu aitwe mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…