Binadamu wote ni sawa..!

kabon14

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
1,233
867
Hata watu wa dunia ya kwanza hutumia maboksi kuandikia mabango wakati wa maandamano

Teh tehe..!! Kama bongo Tu
..!
IMG-20170123-WA0004.jpg
 
Ha ha haaa...inabidi tuitishe mdajala mpana kitaifa kujua nani alitoka wapi kati ya mtu mume na hawa jinsia pinzani!
 
Mkuu ulidhani kampeni kama hizo wanaenda hadi Kwa mchoraji kuchorewa.. Hayo maandamano ya fast wanajiongeza wanatafuta mabox wanaandika wenyewe
 
Mkuu ulidhani kampeni kama hizo wanaenda hadi Kwa mchoraji kuchorewa.. Hayo maandamano ya fast wanajiongeza wanatafuta mabox wanaandika wenyewe
Lakin Wao wako mbali Sana mkuu, hadhi Yao sio kutumia mabox
 
Ubavu ni mfupa, so ningetegemea wanawake wangekuwa skeleton tu
Binadamu ametokana na manii?mbona Leo hii amekuwa na umbile kamili.so angebaki vile vile kwenye hali ya umaji maji.yaliyotoka kwa baba yake?
 
Back
Top Bottom