Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,003
- 168,558
Usitegemee msaada kutoka kwa waandishi wa habari wala polisi, yaani kila kitu kwao ni hela tuNdivyo ilivyo na hasa ukiwa una rafiki mwandishi wa habari,usitegemee atakuokoa unapokuwa unazama au unapata shida yeyote zaidi sana atakuwa bize kuchukua matukio ya kuripotia habari.dahhhhhhh!!!!!!!!!
Usitegemee msaada kutoka kwa waandishi wa habari wala polisi, yaani kila kitu kwao ni hela tu