Binadamu wa kwanza kula chakula na kunywa maji

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Habari,

Hivi huyu binadamu wa kwanza kunywa maji pamoja na kula chakula, alifundishwa na nani? na siku hiyo ilikuaje? Alijuaje kwamba nikijisikia hivi ninatakiwa nitafute chakula? nikijisikia hivi natakiwa nitafute maji?

Ni moja kwa moja alikula chakula? au kuna vitu vingine alivijaribu na vika-mdhuru?

NAWASILISHA.
 
Gambamala

JF-Expert Member
May 13, 2014
1,045
1,250

Inaonekana una ukosefu wa elimu ya Biolojia. Nenda kasome mechanism ya kuhisi njaa, ni jinsi gani meseji inavyotumwa kwenye ubongo hadi kuhisi njaa. Mbona ushangai kifaranga cha kuku kuzaliwa na kuanza kula punje za nafaka?, mbona usishangae mtoto wa mammalia kuzaliwa na kuanza kunyonya?. Jisomee uache uvivu
 
Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,765

Hujaelewa swali, umetunga la kwako na bado swali lako mwenyewe umelijibu hovyo hovyo !!,??
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,735
2,000
Habari,

Hivi huyu binadamu wa kwanza kunywa maji pamoja na kula chakula, alifundishwa na nani? na siku hiyo ilikuaje? Alijuaje kwamba nikijisikia hivi ninatakiwa nitafute chakula? nikijisikia hivi natakiwa nitafute maji?

Ni moja kwa moja alikula chakula? au kuna vitu vingine alivijaribu na vika-mdhuru?

NAWASILISHA.

Hakuna Mwalimu ajuaye kundisha vizuri na kwa ni kila siku na kwwaa uhakika wa BIG RESULT NOW kama NJAA. Chekechea ni tangu mototo yuko tumboni mwa mama yake. Akizaliwa kitu cha kwanza huimba yaani hulia, kisha huogeshwa Njaa haiikose, haina darasa , wanafunzi wake sasa hivi ni Bilioni 7. Hakuna anayekosa kuhudhuria, test na baada ya hapo mama humwekea nyonyo mdomoni naye bila mafunzo huanza kunyonya. Njaa ni Mwalimu wa Viumbe hai vyote Duniani. Ada yaa masomo hulipwa kila siiku
 
Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741

Kwa uandishi huu unadharirisha walimu wako
 
Funge

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
582
195
Na mimi nimewaona mijusi wakinywa maji ya mvua, nikajiuliza walijuaje hayo yataondoa kiu.
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Inaonekana una ukosefu wa elimu ya Biolojia. Nenda kasome mechanism ya kuhisi njaa, ni jinsi gani meseji inavyotumwa kwenye ubongo hadi kuhisi njaa. Mbona ushangai kifaranga cha kuku kuzaliwa na kuanza kula punje za nafaka?, mbona usishangae mtoto wa mammalia kuzaliwa na kuanza kunyonya?. Jisomee uache uvivu
Hongera kwa kuchangia, elewa swali kabla ya kujibu. jifunze kuchangia bila jazba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom