Binadamu wa kawaida au ni kiumbe

Binadamu wa kawaida au ni kiumbe

Huyo ana jini kwa hiyo huyo jamaaa hawezi kufanya chochote kile maaana anauwezo wa kutambua unachofikiria kabla hata hujafanya
cha kufanya aende kwa mganga akapewe dawa ambayo itamkimbiza yeye mwenyewe tu akikimbia yeye hakuna anachofanya hata alipokuja kwako anajua akifanya uamuzi wa kukimbia ndipo kifo kitamkuta
kumbuka jini hakimbiwi wala hadanganywi tena huyo kapata jini nzuri la kuambiwa kuna mengine unaenda na demu linatokezea na hapohapo na kukuambia umevunja sheria zangu na saizi nakuua linakuua na kunywa damu kwa raha msitarehe
Nina rafiki yangu amekutana na makubwa baada ya kukutana na mwanadada mrembo maendeo ya Posta mpya wiki tatu zimepita, baada ya kukutana alikuja kwangu na huyo mchumba wake kunitambulisha kuwa nimepata wifi yako na ninampenda sana nahitaji kufunga nae ndoa baada ya mwaka mmoja km mungu akitupa uzima.

Hiv karibuni rafiki yangu alinipigia akanambia kuhusu hayo anayoyaona kwa huyo bibie, anasema kwanza hapendi pombe mchumba wangu nimejaribu kumwelewesha kuwa nipe muda pombe nitaacha amekuwa mgumu kunielewa, tumekuwa tukipishana sana kuhusu suala hili.
Anasema, ananiweka kwa wakati mgumu mchumba wangu kwani kila nilolifanya ninapokuwa kwa shughuli zangu ninaporudi nyumbani yote mchumba wangu hunaambia kuwa leo umekutana na Fulani, umefanya hiv na vile ili hali ni kweli hayo anayoambiwa nakuwa nimefanya.

Leo asubuhi amekuja nyumbani kwangu mapema km saa moja, nikamuuliza kulikoni mapema yote hii, akasema jana wakati niilirudi nyumbani mchumba wangu alinifungulia mlango lkn wakati naingia sikumwona niliwasha taa lkn ckuona mtu hapo mlangoni na nilipoingia chumbani nilimkuta kalala na ili hali mlango ulikuwa umefungwa swali nililojiuliza huyu bibie amefunguaje huo mlango, bac ili bidi nitulie kidogo.

Nilichukua chakula mezani kwani tayari alikuwa kishakiandaa nikala nikaingia chumbani alikuwa kawasha TV hivyo kulikuwa na mwanga na yeye yupo kitandani kalala lkn si usingizi, pale pale alipo lala akanyanyua mkono akawasha taa, wakati bado nashangaa kile nimekiona akaniambia leo umekunya pombe, na pia ulipotoka kazini umeenda kuzini na msichana (akamtaja kwa jina) na umemsindikiza na gari hadi nyumbani kwao, (ili hali ni kwlei nimefanya yote aliyokuwa akiniambia), swali ninalojiuliza amejuaje? kwa kweli mwili wote umekufa ganzi siamini yale niliyoona na niliyosikia toka kwake hiv ninavyokwambia usiku sikulala nimeshindwa na sasa hiv nahama pale nyumbani namuachikia kila kitu, alimaza kwa kusema, isiwe tabu vitu vinatafutwa na uhai hautafutwi.

NB: Huyu kaka ni mtu ambaye ni rafiki yangu sana, sasa kwa hili nilishindwa hata nimshaurije ndo maana nimelileta kwenu nanyi mtoe mawazo yenu ili niyafikishe kwani sasa hiv ni kweli kahama kwake yupo hotel wakati anasubiri apate nyumba nyingine na kila kitu kaacha hivyo anaanza maisha upya.

Hapo kwenye bold...................huyu mvulana ni halali yake jini

btw uliliomba hilo jini ruhusa ya kuuleta huu uzi hapa au umekurupuka tu
kwiwkiwkwiwkwiwkwwiwk hahahaahah aisee limeshamwona jioni litampatia shuhuli yake
 
hahaha utanifanya leo nikalale kwa jirani lol......

'kwa kawaida JINN huwa akipata mtu hatoki mpaka apate sehem ya kuhifadhika yani apate mtu mwingine sasa kwa kumsaidia mwambie am-direct kwangu coz si mara moja mi kuishi nao hao wakiwa kama FRIENDS nilishaishi nao sana tu kama akihitaji mawasiliano ani PM najua jinsi gani ya kwenda nao coz nilikuwa nao wa kiume na wa kike walikuwa ni waarabu na mmoja alitokea U.K alikuwa ni mzungu na mpaka namba zao wakanipa tukawa tunawasiliana nao sasa kama kweli habari ya hapa unataka kumsaidia rafiki yako mwambie anipe namba yake huyo JINN coz i know how to deal with them,misyu heaven'
 
Last edited by a moderator:
wala awezi kumkimbia ngoja akufuate na wewe akwambie kwa nini umempost jf utakoma........... alafu huyo kaka aombee tu kwa sababu litamfuata kila aendapo lake hilo
 
Hahahahah jini la daraja la salenda la mzizi mkavu lol!
 
Huyo ana jini kwa hiyo huyo jamaaa hawezi kufanya chochote kile maaana anauwezo wa kutambua unachofikiria kabla hata hujafanya
cha kufanya aende kwa mganga akapewe dawa ambayo itamkimbiza yeye mwenyewe tu akikimbia yeye hakuna anachofanya hata alipokuja kwako anajua akifanya uamuzi wa kukimbia ndipo kifo kitamkuta
kumbuka jini hakimbiwi wala hadanganywi tena huyo kapata jini nzuri la kuambiwa kuna mengine unaenda na demu linatokezea na hapohapo na kukuambia umevunja sheria zangu na saizi nakuua linakuua na kunywa damu kwa raha msitarehe

du! hatari sana nimebaki mdogo wazi sana hii dunia kweli ina mengi
 
wala awezi kumkimbia ngoja akufuate na wewe akwambie kwa nini umempost jf utakoma........... alafu huyo kaka aombee tu kwa sababu litamfuata kila aendapo lake hilo

usiniogopeshe mwenzangu maana hili janga, wanaowajua wagaga na pia nitamwelekeza kwa mzee wa upako au kwa mwingira
 
Ila linaonekana linampenda... Mwambie aache ukicheche afaidi penzi la jini. Usisahau kumuuliza kama lina joto la binadamu wa kawaida uniletee feedback please madame
 
Anatakiwa aende akafanyiwe maombi kabla huyo Jini Mahaba hajammaliza maisha yake, asiogope , awahi tu Maombi atakua huru
 
daaaaaaaaahhhh High Vampire mi ukichanganya jina na hiyo avatara yako mi amani kushnei yaani kama vile namwona anavyomsumbua huyo mdada,dahhh najuta kufungua hii thread leo naomba nitafute mtu wa kukaa naye leo usiku daaahhh!!!!!!!!!!!!
Huyo ana jini kwa hiyo huyo jamaaa hawezi kufanya chochote kile maaana anauwezo wa kutambua unachofikiria kabla hata hujafanya
cha kufanya aende kwa mganga akapewe dawa ambayo itamkimbiza yeye mwenyewe tu akikimbia yeye hakuna anachofanya hata alipokuja kwako anajua akifanya uamuzi wa kukimbia ndipo kifo kitamkuta
kumbuka jini hakimbiwi wala hadanganywi tena huyo kapata jini nzuri la kuambiwa kuna mengine unaenda na demu linatokezea na hapohapo na kukuambia umevunja sheria zangu na saizi nakuua linakuua na kunywa damu kwa raha msitarehe
 
Last edited by a moderator:
Na mpa pole saana huyo ndugu na narafiki pia aliepataga hilobtatizo yeye alihama na kukimbilia arusha lakini mambo yalikua yale yale, majini yanauwezo wakuona katika ulimwengu wa roho hawafungwi na muda wala distance, so huwezi kuwakimbia kama wamedhamiria jambo , huyo rafikiyako asilogwe akaenda kwa waganga wa kienyeji wanacho fanya nikuweka jini mkubwa amtulize mdogo siku mkubwa akisumbua wanaweka mkubwa zaidi (shetani hawezi mfitini shetani mwenzie) ushauri wangu aende sehemu akaombewe hiyo ndo salama yake tena atafute watumishi ambao wanaujuzi katika hayo maeneo (wamepakwa mafuta) ataweza mshinda huyo jini.jini niviumbe vyenyekutisha lakini havina uwezo juu ya jina la YESu
 
Story kama hizi mbona tumeshazisikia siku nyingi?
 
huyo ndugu yako mzinzi wa kutupwa
unakutana na binti wiki tatu tu unatangaza uchumba na kumwachia nyumba?
kama kampenda kwanini sasa akazini na wengine asikae nae huyo alomkuta posta
huenda kakutana na mtu mwenye maono kama kina TB Joshua au malaika
kwa mnaosoma bible agano la kale kabla ya garika kuna wale wanefili wanaoitwa watoto wa mUngu walokuja duniani na kuzaa na wana wa binadamu..wengine wanawaita ni fallen angels...huenda akawa mmoja wao
atulie nae kama kampenda,asinywe pombe wa kuzini they can make a good and happy couple
bado sijaamini kama ni jini.
 
Back
Top Bottom