binadamu tupendane mwaka huu.(picha inatisha Maiti iliyochomwa Moto)

Mi ahii kali sana Mwenyeezi Mungu amsamehe kwa makosa yake na walimtenda huo unyama Mwenyeezi Mungu ndie atakayewalipa makosa yao hao wauaji Ahhhh Mia Bora ukutane na Simba atakuonea huruma kuliko Binadamu......
 
binadamu inabidi tujifunze roho ya huruma. Ukiona mafisadi wanavyo tunyonya hamna hata haja ya kuuwana sisi kwa sisi. Adhabu kama hii iliwafaa mafisadi. Mia
 
Hivi umeshawai kuingia anga za vibaka?umeshawai kupigwa mapanga...?roba za mbao?hawa hawana huruma nasisi so atuna huruma nao.ukiwapeleka polis wanarudi tena kitaa.dawa ni kuwa rost tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom