Binadamu tunazaliwa tukiwa wazee

Binadamu tunazaliwa tukiwa wazee

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,316
Reaction score
4,184
Ushahidi kwamba binadamu tunazaliwa tukiwa wazee ni muonekano wa mtoto mchanga wa kuanzia siku moja mpaka siku nne.

Kuanzia ngozi mpaka sura ya mtoto mchanga wa siku moja mpaka nne wengine mpaka kumi huwa ni ya kizee kabisa.

Kiujumla muonekano mzima wa mtoto mchanga ni wakizee Ila kadri muda unavyokwenda anabadirika na kua mtoto na baadaye anakuwa kijana kisha anazeeka tena

Yaani ni hivi hakuna mtu ambaye hàjawahi kuzeeka duniani kwani tunazaliwa tukiwa wazee kisha tunarudi utotoni tunakuwa vijana na mwisho tunazeeka tena.

Ni hatari sana wazee kaya
 
Back
Top Bottom