BINADAMU NDIVYO TULIVYO:utampata wapi mwaminifu?

BINADAMU NDIVYO TULIVYO:utampata wapi mwaminifu?

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,128
Jamii imejaa uongo,usaliti,zinaa,roho mbaya.
UNATAFUTA MPENZI MWAMINIFU SAWA lakini unamtafutia wapi?utarudi kwenye jamii hiihii iliyojaa usaliti,zinaa,uongo na tamaa.
nani tumlaumu?Tunawalaumu wanawake kuwa si wakuaminika sawa lakini hao ndio mama zetu tunaowaamini,hao ndio shangazi zetu tunaowaamini,hao ndio jirani zetu tunaowaamini,hao ndio bibi zetu tunaowaamini,hao ndio marafiki zetu tunaowaamini,na hawa wote ndio wametuzaa sisi,WANAWAKE hawatuamini sisi kwa usaliti wetu,lakini sisi ndio kaka zao watuaminiao,sisi ndio wajomba zao watuaminiao,sisi ndio baba zao watuaminiao,sisi ndio babu zao watuamiano.
TUSINYOOSHEANE VIDOLE MANA JAMII YENYEWE IMEJAA UCHAFU NA USALITI WA KILA AINA,na tunajidanganya kutafuta watu waaminifu kwenye jamii iliyojaa usaliti.WENGI NI WAAMINIFU KWA MUDA TU.
ni rahisi kusema wanawake ni wasaliti,je ni rahisi kusema "shangazi ni msaliti,mama ni msaliti,dada ni msaliti,bibi ni msaliti"???????
Je ni rahisi wanawake kusema"baba ni msaliti,kaka ni msaliti,babu ni msaliti"??????
 
endelea tuu kutafuta. maadamu umesema ama/baba/shangazi/wajomba etc ni waaminifu then waaminifu bado wapo. i recommend uliza hao waaminifu walikutana wapi upate pa kuanzia search yako.
 
Ndio dunia yenyew mkuu, hapo n kufungua moyo tu
 
Ndugu, inaweza kuwa ngumu kumpata mwaminifu. Lakini inawezakana ukamchukua aisiye mwaminifu na ukamfanya kuwa mwaminifu. Remember: True love does not come by getting the perfect partner,but by learning to see the perfectness into imperfect one.
 
siyo kweli kuwa watu wote siyo waaminifu, wewe ndiyo siyo mwaminifu ndiyo maana unaoana watu wote siyo waaminifu. Mfano mimi mwenyewe ni mwaminifu kabla ya kuoa na baada ya kuoa.Nimeo nikiwa na umri wa miaka26,kabla ya kuoa nilikuwa na mchumba moja na ndiyo nilie muoa, kabla ya kumwoa nilikuwa sifanyi naye mapenzi, baada ya kumwoa ndiyo nikaanza kufanya mapenzi, ninaye mke moja sina nyumba ndogo , ndoa yangu imedumu kwa miaka kumi na tatu mpaka leo ni mwaminifu kwa mke wangu .kama unataka mke mwaminifu basi anza kwanza wewe mwenyewe kuwa mwaminifu na waminifu tupo tena wengi sana tu.
 
kweli kabisa, pia unaweza kumchukua binti sepetu na binti uwoya na ukawabadili wakawa waaminifu tu.
 
Wewe mwenyewe ni mwaminifu, kila mtu atalipwa ujira wake sasa kama wewe si mwaminifu jua utavuna asiyemwaminifu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jipe ganzi ya moyo,fumba macho,ziba masikio utafanikiwa soon

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi ni muaminifu kwenye baadhi ya mambo lakini kwenye vitu fulani nakubali kwamba mie sio muaminifu.Nalog off
 
siyo kweli kuwa watu wote siyo waaminifu, wewe ndiyo siyo mwaminifu ndiyo maana unaoana watu wote siyo waaminifu. Mfano mimi mwenyewe ni mwaminifu kabla ya kuoa na baada ya kuoa.Nimeo nikiwa na umri wa miaka26,kabla ya kuoa nilikuwa na mchumba moja na ndiyo nilie muoa, kabla ya kumwoa nilikuwa sifanyi naye mapenzi, baada ya kumwoa ndiyo nikaanza kufanya mapenzi, ninaye mke moja sina nyumba ndogo , ndoa yangu imedumu kwa miaka kumi na tatu mpaka leo ni mwaminifu kwa mke wangu .kama unataka mke mwaminifu basi anza kwanza wewe mwenyewe kuwa mwaminifu na waminifu tupo tena wengi sana tu.

Duuh hongera ila kuoa kabla ya kugegedana hizo ni swaga za kale siku hizi HAIWEZEKANI hata uwe mlokole wa wapi sijui,mpango ni kutest kwanza ana radha gani ndio uamue kuoa ama kushit.
 
Wewe mwenyewe ni
mwaminifu, kila mtu atalipwa ujira wake sasa kama wewe si mwaminifu jua
utavuna asiyemwaminifu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mkuu hili jina lako ni la kireno au ni la lugha nyengine? Nalog off
 
Ndoa nyingi sasa hazidumu kwa sababu tunaamini katika uzunzi na umalaya na kuhalalisha umalaya kama ndiyo mfumo na kuupigia debe. kumpata mwaninifu ni rahisi sana fuata sheria zote za namna ya kumpata mke mwaminifu kama, wewe mwenyewe kuwa mwaminifu, kumwomba mungu, kumchunguza mke kabla ya kumcumbia, uchumba na wakati wakumwoa, weka sheria za kulinda ndoa takatifu, tafuta mwanamke mwenye madili, mchumbie mwanamke amabaye siyo malaya kwani ni ngumu sana kumbadilisha mwanamke malaya kiasili aache umalaya.wanawake waaminifu wako wengi sana
 
Back
Top Bottom