Binadamu na uwanja wa kiini macho cha uhai

Binadamu na uwanja wa kiini macho cha uhai

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,849
Reaction score
2,442
Mbali na kuwa wenyeji na wahusi wa dunia hii lakini tumekuwa kama watwaliwaji watekelezaji wa sanaa za maisha ndani ya dunia yetu,tumekua tukiona visivyo halisi na kufanya yasiyo thabiti je hii tunaweza sema tulikosea wahudumu wetu wakuu ama tuko katika jaribio fulani na je ni vipi siku tukizunduka na kujikuta tulikuwa katika operesheni fulani ya kimajaribio na kila mtu alikuwa katika uhusika fulani,na hata tukajikuta kuwa tuliokuwa tukiishi nao katika familia fulani baasi walikuwa si wanafamilia halisi,..

hili swala tunaweza liepuka mapema kama ni sahihi hiki ni kiini macho sababu kuna wakati mtu unashtuka kabisa kama hauko kunakostahili na hili jambo huwakuta wachache ambao hupita ama kukutwa na upepo mzuri wa taarifa halisi wataalumu huziita (frequency)ambazo hizi salama zikibaatika kukutana nawe basi hushituka japo ni kwa micro one hulf nadhani kwa sekunde moja kisha hufutika kichwani mwako,unaweza kushika maji ukayatizama kwa makini na ukajiuliza keanini yawe maji kwa rangi ile na kila uyahamishapo basi hukimbilia rangi ya mahali yawapo kwanini ya na rangi ya pasina kitu unaweza pata jibu maji na hewa na upepo hayana utofauti kumbe maji ni form ya hewa upepo na hata uhai wetu si ndio?,baasi ni kwanini yawepo mengi na yatunguke kwa ukubwa ardhi yetu ya dunia?,ni nini kinaendelea nyuma ya kiini macho baasi kumbe sisi ni vyakula vilivyo katika mapishi na kituivishacho ni haya maji?,je ni wakina nani hao wapishi waliotuweka ndani ya viini macho..

kuna mda fulani unaweza shtuka ama kukishangaa kitu ambacho unakifahamu katika mazingira ya kila siku lakinj kuna kaupepo kanaweza kukupitia ukakishangaa kile kitu tu ghafla na ukajiuliza mengi mengi sana na ukakijaji kwa vingi na ukahamaki imekuwaje sasa lakini hayo yote hutokea ndani ya sekunde moja ya unusu wake tuu imagine ni iweje unakuwa shapu kiasi hicho na hujisahau pia sekunde chache kutoka hapo,...

wakati mwingine upepo mzuri wa taarifa ukikupitia hubaki umeduwaa kwa hata dakika1 bila kupepesa macho wala kutikisa kidole hata vinyweleo kutulia hili jambo hukurudisha kwenye uhalisia wako natural yako na hapo hujiona ww ulipokuwepo na ulikuwa vipi na unafanya nini sema hili jambo unapomaliza tuu kuzubaa nalo linafutika hapo hapo kumbukumbu labda uje uzipate siku za mbele huko nazo utapuuzia tu kama ilikuwa ndoto....,yawezekana kabisa tukawa na miili hii dhaifu na si chochote lakini tukawa na asili ya viumbe tofauti kabisa walio na ukamilifu madhubuti sana na si kama huu wa nyama ulio na risk kila mahali tukiwa ovyo ovyoo...karibuni......
 
Mwenyezi muumba ndie katubariki haya maisha fuatilia vitabu vya dini utajua mengi kumuhusu mwanadamu
 
Kama una uwezo wa kuamua na kufikiri kisha kufanya maamuzi ni uthibitisho tosha kuwa hakuna kitu au mtu au miungu inayokuongoza.

If I can think rationally, why should I worry that there is something out there controlling me?

Deciding and making decisions on free-will isn't a miracle but a proof that we depend on our own for everything.

Turudi kwenye tafakuri.
 
mwanamke anaweza kuzaa kupitia mdomoni? mwanaume anaweza kubeba mimba na kunyonyesha? unaweza kuishi bila kunywa maji maana una free- will ya kuamua, kama jibu ni no basi hakuna hiyo free will unayoongelea na unaishi kwa maamuzi au control ya nguvu flani
 
Kuwa hai ni kuwa na chaji... Kujitambua ni kuwasha data na kuzurura

Alisikika kijana mmoja hivi ambaye hajajitambua bado
 
Kama una uwezo wa kuamua na kufikiri kisha kufanya maamuzi ni uthibitisho tosha kuwa hakuna kitu au mtu au miungu inayokuongoza.

If I can think rationally, why should I worry that there is something out there controlling me?

Deciding and making decisions on free-will isn't a miracle but a proof that we depend on our own for everything.

Turudi kwenye tafakuri.
Sisi binadamu tuna free will very limited..
Hivi unaweza kusimamisha heart beats? Hatuwezi.. Hata kusimamisha hii dunia isilizunguke jua kamwe hatuwezi..
Kuna force kubwa beyond uwezo wetu.. Kuna nguvu ya asili kubwa sana nyuma yetu.. Ambayo iliamua mazingira haya yawepo..
 
Ngoja nifuatilie wataalamu hapa,mada nzuri sana hii na pia ni mada fikirishi.
 
Kama una uwezo wa kuamua na kufikiri kisha kufanya maamuzi ni uthibitisho tosha kuwa hakuna kitu au mtu au miungu inayokuongoza.

If I can think rationally, why should I worry that there is something out there controlling me?

Deciding and making decisions on free-will isn't a miracle but a proof that we depend on our own for everything.

Turudi kwenye tafakuri.
Sanaa ya kifo by Mshana Jr
 
Back
Top Bottom