Binadamu na ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binadamu na ufisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zabron Erasto, Jun 30, 2011.

 1. Z

  Zabron Erasto Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binadamu kwa matendo na hulka yake ya uovu hupenda kufanya matendo ya kifisadi dhidi ya binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba haiwezekani akaishi muda mrefu kuweza kuyafaidi vyema matunda ya ufisadi wake. Je! wewe unasimama na wazo lipi?
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa asili mwanadamu ni kiumbe anayependa kumiliki na kujilimbikizia kupita kiasi, hofu ya Mungu na pengine sheria za nchi ndio vinaweza kumtia hofu. Sasa kwa maoni yako kuwa ataishi muda gani afaidi matunda yake nadhani ni vigumu kuhusisha na hali hiyo kwa kuwa hakuna mahali panaponyesha mwisho wa binadamu huyo kuishi ni lini.
   
Loading...