GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
no photoJioneee hapa mwenyewe
ONYO
Kama hutahili msituko usiangalie tafadhaliiiii, chonde chonde
Daah noooma saana yaani mwembamba hadi haonekani, ila kapendeza.....Jioneee hapa mwenyewe
ONYO
Kama hutahili msituko usiangalie tafadhaliiiii, chonde chonde
ha ha ha!Daah noooma saana yaani mwembamba hadi haonekani, ila kapendeza.....
Wala sio computer, ni ujanja mdogo wa kawaida kabisa. Jamaa amechuchumaa chini ya kitanda ametoboa godoro na kupitisha kichwa.Compter hyo
Wala sio computer, ni ujanja mdogo wa kawaida kabisa. Jamaa amechuchumaa chini ya kitanda ametoboa godoro na kupitisha kichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]download tuSina mb nilitegemea nielewe hapa ila kila nikichambua haya maelezo sijaelewa sijui kachumaa mara kapenya kila nikihusishanisha na wembamba sipati jibu.
Kwaiyo iyo mikono na miguu ni visanamu sio vinacheza chezaWala sio computer, ni ujanja mdogo wa kawaida kabisa. Jamaa amechuchumaa chini ya kitanda ametoboa godoro na kupitisha kichwa.
tusimulie basi dada...wewe si umedanlodi!![emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]download tu
Kaka haisimuliki download tu[emoji847][emoji847]tusimulie basi dada...wewe si umedanlodi!![emoji4][emoji4]