Binadamu-mnyama

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,875
Nchi ya Japan hivi karibuni inaenda kuruhusu wanasayansi kuzalisha BINADAM-MNYAMA

Unalipi la kusema juu ya hili[emoji780], je mbele za Mungu icho kiumbe kitatambulikeje[emoji3480]
Je baada ya binadamu kuzalisha hawa viumbe watu wataamini kuwa Mungu yupo[emoji781]
 
Mbona kama hiyo wameisha ipitisha toka mwaka jana
 
Huku
Mama Anaupiga Mwingi Sana Mpaka Unatoka Nje 😂
Twendeni Uganda Watu Toka Afghanistan
 
Wakazi gani huyu? Wamesha achana na artificial intelligence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…