Binadamu kuanza kuishi mars rasmi mwaka 2022

Binadamu kuanza kuishi mars rasmi mwaka 2022

Mkuu Kwanza niseme sio kuwa hatujaamua kutuma kiumbe ni kuwa hakuna uhakika wa usafiri wa kutuhakikishia usalama wa kutua mar na kuondoka kurejea dunia so bado technology yakusafiri na kurudi haipo kabisa ipo ya kwenda tu nayo ni kwa vyombo ambavyo vikimaliza kazi hulipuka Natamani kuchimba zaidi kwanini hakuna uhakika wa go and return ila sina uhakika kama nikitumia technical language utanielewa...Pili hakuna kiumbe kilichotua mwezini na kurejea dunia Neil Armstrong 1969 hakutua mwezini ile ilikuwa cold war ya Russia na United state yani walikuwa wanatambiana tu na Us aliamua kufake moon landing na mchezo wote ulimalizikia Area 51 Nevada, Kwanini nasema Us haikupeleka mtu mwezini clips za sehemu wanazodai ni mwezeni zina full mapunguzu kama umecheki bendera inapepea ile hali ktk mwezi hakuna atmosphere ni vacuum pili helmet ya Armstrong ili reflect kopa la Pepsi pia reflection za miale mbali mbali zilionekana ni mchezo wa kuigiza tu Hebu waza america waende mwezini 1969 mpaka leo wasiende tena ile hali tech imekuwa advance mara tatu ya miaka io wanaenda, Note science inatanuka na mimi ni mwanasayans natambua ipo siku mwanadamu atatoka kabisa nje ya solar system its matter of time tu, Mambo ya kutamba sasa ile hali technology bado haijakuwa enough kuarchieve ni imagination tu ,Kuwa na imagination ni mwanzo mzuri mana thought(mawazo) ndio huunda kitu(Touchable)
ni tanzania tu ambako mtu ambaye hajasoma na hana uelewa anabishana na mtu anayeelewa na kama unajua mbona umeshindwa hata kutengeneza redio tu
 
Katikati ya miguu,..we mwenye kazi umelisaidia vipi taifa hili kuongeza mapato tokana na hiyo elimu yako

Ninalipa ushuru, tena pesa ndefu kuliko unavyofikiri, nimeajiri watu 12 na ninawalipa vizuri sana sijahesabu wanaofanya usafi, na bado ninashirikiana na baadhi ya makampuni mengine na ninawalipa, na kazi yangu inahusisha huduma ambazo zinasaidia wananchi wengi kujipatia kipato.

Wewe je umefanya nini ulipotoka hapo katikati ya miguu? au unadhani kila aliye JF hana kazi na ni masikini?
 
We ndo uliyeanza kuniambia sina kazi sasa ndo utwambie wewe mwenzetu hiyo kampuni ni ipi ambayo umeajiri watu 12 na kulipa ushuru badala ya kodi..ili tuone kama kuna haja ya kukupa Tuzo kwa kulipa ushuru wa pesa ndefu kama unavyojisifu
 
Naona hujui hata maana ya ushuru, ushuru unalipwa kwenye imports au exports ya products. Nipo JF kulinda identity yangu, ningekua nataka unifahamu ningeweka jina langu badala ya nickname. Naona tumeisha acha mada na kuanza kuongelea personal issues, mada inaongelea mars, we kama unataka tuendelee kuongelea kuhusu personal issues nitafute inbox, alafu ukija uniambie kwanza wewe umefanya nini kabla ya kuuliza wenzako.
 
Unalinda identity ipi wewe? Wewe ndo uliyehama mada na kuanza kuongelea mtu binafsi na kujisifia wewe ni bora kuliko mwenzio na kudiriki kuniambia sina kazi ndomana nikakuuliza wewe mwenye kazi unamchango gani kwenye taifa hili..siku nyingine usilete ujuaji sana na kujifanya unawajua watu na kuwatambua wasio na kazi
 
Mwezin kuna gravity sawa na duniani kwani?[emoji2] [emoji2]
Hapana mkuu gravity ya mwezini ni dogo sana, Mass ukubwa wa kitu hufanya kitu hicho kuwa na gravity kubwa mwezi ni gimbi tu linlozunguka dunia yetu na wala halina chqnzo cha nishati chochote hutegemea jua kushine
 
ni tanzania tu ambako mtu ambaye hajasoma na hana uelewa anabishana na mtu anayeelewa na kama unajua mbona umeshindwa hata kutengeneza redio tu
Nimefqnya project zaidi ya radio mkuu, Electronics iko damuni
 
Back
Top Bottom