Hata kama ingetokea ukawa na mazilioni ya shilingi na ukaamua kugawa pesa kila siku kama laki mija moja kwa jirani yako kwa ajili ya matumizi yao, wataendelea kusema mambo ya ajabu tu. Kwa hiyo fanya kile unaona kinakupendeza na usiangalie binadamu yeyote. The unseen is illustrated by the seen.