said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
- Thread starter
- #21
Kama umenielewa ni vyema maana ndiyo lengo langu kuelewekaBahati nzuri kutokana na maandishi yako, nimekuelewa vizuri sana bwana Nundu na sioni sababu ya kulumbana nawa kwenye hili.