Kwa Operations za Polisi wanatakiwa gari korofi kama land cruiser hard top zilekinachosumbua ni mtu ajui gari hii iende wapi na ikafanye nini.. gari yoyote haitaki mikono mingi, haijalishi toyota au mjerumani .. polisi wapo rough kila mtu ana uendeshaji wake lazima zife, polisi wa ulaya wanatumia gari gani kwani πππ
Weee i know Bima it's BMW bana πBima ya NHIF mamaπ
Dubai mbona wanatumia hadi Ferari , ngozi nyeusi zina ushenzi mwingi sio watunzaji sie, gari imekaa Japana zaidi ya 10 years inakuja hapa mpya, ila ikiingia tu mkononi mwa mbongo siku kadhaa hoi ππππKwa Operations za Polisi wanatakiwa gari korofi kama land cruiser hard top zile
Sasa utafananisha na lami za dubai na hapa nchini man?Dubai mbona wanatumia hadi Ferari , ngozi nyeusi zina ushenzi mwingi sio watunzaji sie, gari imekaa Japana zaidi ya 10 years inakuja hapa mpya, ila ikiingia tu mkononi mwa mbongo siku kadhaa hoi ππππ
Ngozi nyeusi ina matatizo tu, hata tuwekewe gari zitembee kwenye tiles , bado tuta ziharibu tu , kama wote tunatumia kwenye barabara hizi hizi kwanini wengine gari zao kila siku kama mpya na wengine zimechakaaa kama gari za kubeba mkaaSasa utafananisha na lami za dubai na hapa nchini man?
ππ Kwamba Jamaa co. Yake imelamba Tsh.286 bil ya kujenga airport na bado anaonekana Ni mshamba na hana exposure Hahah hiiiii.Labda wenye exposure watakua hawa wenye kuendesha hizi 3 series zetu.acha nikutazame tu, kuna class one mafala tu.. huenda tunatofautiana kutazama na exposure so ni lazima tuwe tofauti πππ
Lady drivenNgozi nyeusi ina matatizo tu, hata tuwekewe gari zitembee kwenye tiles , bado tuta ziharibu tu , kama wote tunatumia kwenye barabara hizi hizi kwanini wengine gari zao kila siku kama mpya na wengine zimechakaaa kama gari za kubeba mkaa
Hapana tulikua tunataniana.Kumbe ulikuwa unabishana π³π³π³
Unachowaza na mie nachowaza au tafsiri yangu na zako ni tofauti sana, tutapotezeana mda tu, naona twende tu kupuliza samaki samaki leo kuna vipulizio vya haja haya mengine tuyaache kupishana kupo ila kwenye vipulizio twende tukapulizeππ Kwamba Jamaa co. Yake imelamba Tsh.286 bil ya kujenga airport na bado anaonekana Ni mshamba na hana exposure Hahah hiiiii.Labda wenye exposure watakua hawa wenye kuendesha hizi 3 series zetu.
"Contracts Management" hii kwanini hawa wameifanyia dar wamezingua πππ, hii ingefanyiwa mwanza tena, kuna vitu vitamu sana kuleHapana tulikua tunataniana.
πππ Cheers.Unachowaza na mie nachowaza au tafsiri yangu na zako ni tofauti sana, tutapotezeana mda tu, naona twende tu kupuliza samaki samaki leo kuna vipulizio vya haja haya mengine tuyaache kupishana kupo ila kwenye vipulizio twende tukapulize
Mm nimeshangaa maana hilux nimetumia field uko kusini aiseee hamna kitu kabisa, kuna wakati tunajaza viroba vya mchanga nyuma ili tutembee vizuri, Amarok nilitumia mara moja natoka ifakara to moro, iko poa sanawajapan wakaza shingo hadi wanakunya, kuna kipindi una wadharau tu japo ndugu zetu.. Amaroko kuipambanisha na Hilux ni ujinga mwingine huo unatakiwa kuingizwa kwenye guiness book
Tutakubebea na recovery/towing truck tuEurope machine ziki kuharibikia kazura mimba, utaibeba mgongoni hadi Dar es Salaam ππππ
wa kupuliza
Amarok machine zile. Mzungu ni mzunguMm nimeshangaa maana hilux nimetumia field uko kusini aiseee hamna kitu kabisa, kuna wakati tunajaza viroba vya mchanga nyuma ili tutembee vizuri, Amarok nilitumia mara moja natoka ifakara to moro, iko poa sana
Labda kwenya rough road ila kwenye lami hata duet itazisumbua au ziwe zile hard top za V6 na V8.Kwa Operations za Polisi wanatakiwa gari korofi kama land cruiser hard top zile
Hard top za v6 na v8 ziko njemaLabda kwenya rough road ila kwenye lami hata duet itazisumbua au ziwe zile hard top za V6 na V8.
Duh hilux ipi hio mzeeMm nimeshangaa maana hilux nimetumia field uko kusini aiseee hamna kitu kabisa, kuna wakati tunajaza viroba vya mchanga nyuma ili tutembee vizuri, Amarok nilitumia mara moja natoka ifakara to moro, iko poa sana
Hilux anatumia 1GD sahizi kama Fortuner tu! Engine ya 204HP so sio kinyonge sana yani!
Yeah we ulifikiri nazungumzia hilux Vigo? Vigo hamna kitu mleWewe sasa unazungumzia Hilux za kuanzia 2015.
Hiyo 5 series mamaBima gani hiyo mkuu? naipendaga X6 π§