Bimmer na Landcruiser V8

Hahah aisee,nilikua sijui aisee inawezekana hawa top dogs wa class 1 wakawa hawajui magari mazuri ahahah.
Unaweza ukawa Class one na bado ukawa mshamba tu, vipenzi havilingani na haujui wakandarasi na hujui pia companyo zote mkuu.. unajua kwa sehemu , mie circle yangu wapo hao wenye class one na wana gari za kijerumani ja hadi field wanaenda nazo huwezi jua watu wote
 
eto takaka za mjerumani πŸ˜€πŸ˜€ ...
Kwenye sector hiyo kuna mabadiriko watu wanafunguka, tanzania au namna ya ukandarasi wa miaka ya 1990 sio sawa na 2021 ukipata tofauti ya hapa utaelewa namaanisha nini
 
eto takaka za mjerumani πŸ˜€πŸ˜€ ...
Kwenye sector hiyo kuna mabadiriko watu wanafunguka, tanzania au namna ya ukandarasi wa miaka ya 1990 sio sawa na 2021 ukipata tofauti ya hapa utaelewa namaanisha nini
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Ninasikitika Sana kuelezewa khs mabadiliko ya tasnia hii.Ila for the sake of kubishana ngoja nikuache tu mzee,,
 
Yeah inategemea na risk appetite ya mhusika katika idara ya logistics na upepo wa hela wa kampuni
 
Na ndivyo itavyokuwa kwa gari zingine, ni swala la mda tu.. watu wanatoka kwenye utumwa wa kutishwa sijui gari gani kimeo, ni sawa na leo kuna watu wana zikandia sana Auto
Change is inevitable ila kadri mtu atakavyo experience atajua which is the best! Kuna ambao walihamia kwenye muingereza wakaona costs zinakuja juu sana kwenye running & maintanance kisha waka revert kwa mjapani!

Mfano mzuri ni Polisi Tz! Kuna kipindi walikomaa na ma landrover ila yakawa yanaharibika sana wakatest Landcruiser toka na hapo hawajageuka nyumaπŸ˜‚
 
kinachosumbua ni mtu ajui gari hii iende wapi na ikafanye nini.. gari yoyote haitaki mikono mingi, haijalishi toyota au mjerumani .. polisi wapo rough kila mtu ana uendeshaji wake lazima zife, polisi wa ulaya wanatumia gari gani kwani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…