Unaonaje kama ukijishughulisha na kubeba mizigo isiyo ya thamani sana?, Kwangu mimi mizigo yenye thamani ni big no unajipa presha bure , si afadhali hilo gari lianguke labda unaeza ukaonewa huruma , kuliko ukutane na wazee wa kazi wafaulishe mzigo hata kujitetea huwezi unaonekana umeuza na si ukibiwa