dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,247
Habari wanabodi
Hapa Tanzania kuna kampuni ya bima inatoa cover ya mwezi mmoja?
Hapa Tanzania kuna kampuni ya bima inatoa cover ya mwezi mmoja?
Unafanyaje? Tushirikishe mkuu. Sharing is caringSijui ngoja wajuzi waje ila me huwa nafoji bima Na sikamatwi wala nini.
Sijui ngoja wajuzi waje ila me huwa nafoji bima Na sikamatwi wala nini.
mkuu unawasiliana Na watu wa bima Ili iweje. We tia bima yako feki likikupata janga maliza hapohapo. Sasa mkuu bodaboda Tu unapigia bima. Nchi hii ukifuata sheria unaumia. Me gari yangu binafsi haivuki mkoa askari wote wa barabarani wanaijua wakiangalia wanaona Kama bima og nikiwaachia buku mbili ya vocha siku mojamoja haina shida. Naepuka 118000/=. ILA nashukuru kwa ushauri wako mkuuOmba Mungu usikutwe na janga ndugu yangu,nilifanya huo wendawazimu nikanunua sticker ya bima kwa buku 20 siku nikamparamia boda boda basi kuja kuwasiliana na watu wa bima yangu wanagundua sio mteja wao ivyo nimefoji tu kilichoendelea ni noma tupu niliziona nondo za gereza hizi hapa....nilikwepa 118000 nikaja kukamuliwa mpaka nikajuta.
mkuu unawasiliana Na watu wa bima Ili iweje. We tia bima yako feki likikupata janga maliza hapohapo. Sasa mkuu bodaboda Tu unapigia bima. Nchi hii ukifuata sheria unaumia. Me gari yangu binafsi haivuki mkoa askari wote wa barabarani wanaijua wakiangalia wanaona Kama bima og nikiwaachia buku mbili ya vocha siku mojamoja haina shida. Naepuka 118000/=. ILA nashukuru kwa ushauri wako mkuu
pole Sana mkuu nadhani Kuna watu walikuwa nyuma ya hiyo kesi wakamshurutisha bodaboda. Pia walipogundua Una bima feki ndo wakatumia Kama fimbo. Usijali ndo ya walimwengu.Nilimvunja dereva wa bodaboda nikamtibu vizuri tu ghafla akakomaa kesi iende mahakamani na nikasimama mahakamani hukumu ikatoka jela au faini nikalipa kama laki 2 ivi nikajua yameisha,jamaa akarudi tena mahakamni hajaridhika na hukumu na hapo ndipo alipoibuka kwa watu wa bima na msala ukaanzia hapo alipojua bima yangu ni feki utata ukazidi BTW iyo bima fake nimetembea nayo kupita mikoa kibao tu ila bodaboda ndio ilinirudisha kwenye mstari.
Kuna jamaa huwa naona anakata bima akiwa ansafiri tuu. Sasa na hii sijui ipoje. Ila pia niulize iyo bima feki inakuwaje na nani anaitoa???? Na inakuwaje kuhusu kutembelea gari lenye bima feki kwa hapa Dar na mikoani, tofauti yake ni nn????Omba Mungu usikutwe na janga ndugu yangu,nilifanya huo wendawazimu nikanunua sticker ya bima kwa buku 20 siku nikamparamia boda boda basi kuja kuwasiliana na watu wa bima yangu wanagundua sio mteja wao ivyo nimefoji tu kilichoendelea ni noma tupu niliziona nondo za gereza hizi hapa....nilikwepa 118000 nikaja kukamuliwa mpaka nikajuta.
Kuna jamaa huwa naona anakata bima akiwa ansafiri tuu. Sasa na hii sijui ipoje. Ila pia niulize iyo bima feki inakuwaje na nani anaitoa???? Na inakuwaje kuhusu kutembelea gari lenye bima feki kwa hapa Dar na mikoani, tofauti yake ni nn????
Ahaha eti kadhia. Sawa sasa kwa hyo bima ya 20k unaweza tembelea mwaka mzima???Bima fake ni kwamba unanua sticker tu ya bima na mostly wanauza Tshs 20000 na huwezi amini wanaotoa ni wafanyakazi wa kampuni za bima bila hata wasiwasi ila sasa gari yako inakua haijasajiliwa kwao ni kama tunavyonunua sticker za nenda kwa usalama bila kukaguliwa,kuhusu kusafiri nazo ni kawaida tu ingawa recently askari wa usalama barabarani wako makini sana kuzikagua na kwa kua nakata bima ndogo nilikua mteja mkubwa wa hizo fake nimeacha baada ya kukumbwa na iyo kadhia na sikushauri kabisa uingie kwenye hiyo burudani ni ngumu kuacha
ndio unaweza tembelea bila wasiwasi kwa mwaka mzima maana askari wengi hawana vifaa vya kugundua bima feki ila shida siku ukikutana Na watu wa bima wenyewe au upate ajali hapo kichwa kitawaka moto kidogoAhaha eti kadhia. Sawa sasa kwa hyo bima ya 20k unaweza tembelea mwaka mzima???
Asante kwa 3xperi3nc3 mkuundio unaweza tembelea bila wasiwasi kwa mwaka mzima maana askari wengi hawana vifaa vya kugundua bima feki ila shida siku ukikutana Na watu wa bima wenyewe au upate ajali hapo kichwa kitawaka moto kidogo
Ahaha eti kadhia. Sawa sasa kwa hyo bima ya 20k unaweza tembelea mwaka mzima???
ndio unaweza tembelea bila wasiwasi kwa mwaka mzima maana askari wengi hawana vifaa vya kugundua bima feki ila shida siku ukikutana Na watu wa bima wenyewe au upate ajali hapo kichwa kitawaka moto kidogo
kweli mkuu hizi third part tunapigwa Tu Na ajabu hata mawakala wa bima wenyewe nao wanawapa watu bima feki bila kujua. Unajikuta unatoa 118000 yako fresh kumbe wakala wa bima haiandiki kwenye records zao anakuandikia kwenye sticker Tu basi. Me mkuu bado mdau wa bima feki yaani kutoa 118000 naona napigwa kweli.mimi msala tu ndio ulinitoa kwenye reli ila nilikua mdau mkubwa maana hii halali tunapigwa tu sarafu haina faida labda ukate comprehensive ila hizi 3rd part aaarrrrghhhh takataka.
kweli mkuu hizi third part tunapigwa Tu Na ajabu hata mawakala wa bima wenyewe nao wanawapa watu bima feki bila kujua. Unajikuta unatoa 118000 yako fresh kumbe wakala wa bima haiandiki kwenye records zao anakuandikia kwenye sticker Tu basi. Me mkuu bado mdau wa bima feki yaani kutoa 118000 naona napigwa kweli.
haaaa haaa haaa mkuu ukirudi kundini unipm,me mpaka pikipiki ya shamba nimeweka fake maana Kuna askari mahali fulani napitaga Ni wakuda sanaNi kweli aiseeee wale agents nao wajanja sana wakiona vipi wanakupiga tu likibuma wanasawazisha kwenye ishu ya bima kuna michezo mingi sanaaaa,mwakani nitarudi kundini hii sticker kila nikiiona nahisi maumivu tu
Mkuu hayo mambo ya kizamani, sasa hivi ukikatiwa sticker ya bima inaingizwa kwenye mtandao ambo kila mtu aweza kuhakiki.Huna haja ya kupiga simu kwa wakala. Askari anaingiza no ya sticker tu kwwnye mfumo anapata taarifa zote. Sikushauri kufanya mchezo huu kabisakweli mkuu hizi third part tunapigwa Tu Na ajabu hata mawakala wa bima wenyewe nao wanawapa watu bima feki bila kujua. Unajikuta unatoa 118000 yako fresh kumbe wakala wa bima haiandiki kwenye records zao anakuandikia kwenye sticker Tu basi. Me mkuu bado mdau wa bima feki yaani kutoa 118000 naona napigwa kweli.